Search results

  1. M

    Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'

    Wabunge wa CCM wamesahau kazi yao ni kuwawakilisha wananchi wao na kuisimamia Serikali ili wananchi wao wapate haki wanayostahili. 2najua Tundu Lisu peke yake pale mjengoni ni sawa wabunge 100 wa CCM, John Mnyika naye ni sawa na Wabunge 99 wa CCM, Pauline Gekul ni sawa na wabunge wote wa Kike wa...
  2. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    kero zangu ni: 1.serikali kuwapandisha watumishi wake madaraja huku ikiendelea kuwalipa mishahara ya zamani, litafutiwe ufumbuzi maana linawakatisha tamaa hasa WAALIMU. 2.Bodi ya mikopo ya elimu juu, suala hili bado ni tatizo lisiloisha...
  3. M

    Kinachofuata ccm!

    tukio la ARUMERU ni dalili kwamba chukua chako mapema(CCM) muda wake umeisha na sasa hivi tuna machungu na wabunge wao wanaotaka kuongezewa mishahara eti kwa kisingizio cha kupanda kwa gharama za maisha,U HAVE NO SHAME AT ALL
  4. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    CHADEMA hatuna mpinzani, sera zina soma. Ni dalili njema kuelekea 2015!
  5. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    CHADEMA hatuna mpinzani, sera zina soma. Ni dalili njema kuelekea 2015!
Back
Top Bottom