Search results

  1. N

    Elections 2015 Fredrick Mwakalebela kipenzi cha wana Iringa kuchukua jimbo.

    May be angekuwa anajua kuimba wangempa ukurugenzi wa TOT
  2. N

    Elections 2015 Fredrick Mwakalebela kipenzi cha wana Iringa kuchukua jimbo.

    Teh teh teh! hajafanya kitu nafikiri Mayagila na Monica Mbega ndio walifanya kitu. Teh teh teh!
  3. N

    Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

    Iringa mjini hatuwezi kuruhusu "akili ndogo itawale akili kubwa"
  4. N

    PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

    Tofauti ni kwamba machozi ya Lisu yanatokana na emotion km wanajukwaa walivyoeleza, na ni kawaida watu wengi kulia anapopata ushindi. Machozi ya Pinda alikuwa analilia uwaziri mkuu, kama angekuwa na na uchungu kwa mauaji ya albino angelia siku aliposema wauaji wa albino wanyongwe
  5. N

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Bora usingejibu kuliko huu upuuzi, unasababisha wananzega wamkumbuke Selelii
  6. N

    Mtoto wa Kawawa alia CCM inakaribia kufa

    Angekuwa na uchungu na chama cha magamba angekataa kufutwa machozi ya kufiwa na baba yake kwa kupewa ubunge,
  7. N

    madereva lake oil wako utumwani?

    Kampuni hiyo mmiliki wake ni KJ (Kubwa jinga)
  8. N

    Prof. I. Lipumba: Vyama Vya Upinzani Kuaandaa Maadamano Nchi Nzima Kumshinikiza JK Kuchukua Hatua.

    Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu au adui wa kudumu
  9. N

    Nimeipenda hii ya Hando

    Jamaa ana akili sio kibonde. Comment zake ni za busara sana. Nakumbka aliwah kumuambia bonge mbona analalamika tu kama KJ wakati ana uwezo wa kuchukua hatua
  10. N

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Slaa aliposema kaka wa mwanaasha ana malori kibao ameagiza yako bandarini alikuwa anamaanisha hayo ya lake oil
  11. N

    Kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ya Bunge yailipua serikali tena

    Labda alimpelekea Vasco da Gama mgao wake kwa hiyo anajua hawezi kumfanya kitu, ndo maana anacheka kinafiki km bosi wake
  12. N

    Majina ya utani ya wakubwa tz

    Wasira-Nyara ya taifa
  13. N

    Dr. Slaa: Kikwete Amerahisisha Urais

    Binafsi sioni km amerahisisha, kwa jinsi JK alivyochemsha kwa mtu mwenye upeo lazma aelewe kuwa urais cyo kila mtu anauweza. Kama wewe ni KJ (Kubwa jinga) huwez kuongoza nchi.
Back
Top Bottom