Mzee Mangula amepoteza Network. Ameshindwa kujibu MAPIGO ya CHADEMA anahangaika na LOWASSA. Aache press conference za Makundi. Kwani naye Ana KUNDI lake. Mzee vipi. Hisani ya JK unaitumia vibaya. RUDI Njombe ukalime viazi vya chips.
Jamani Huyu Mangula si ndiye aliyepeleka File Kubwa Eti lenye Madhambi na KUMUUA Kikwete 2005, ILI Kikwete asipitishwe kugombea Urais. Mzee Huyu mlima nyanya Kweli ni mtu aw Chuki. HAKOMI. NAPE naye Huyu ni CCJ yupo pale kwa Hisani ya Marehemu baba yake. HATA na Akina CCJ wakiongozwa na mzee...
Jamani Huyu Mangula si ndiye aliyepeleka File Kubwa Eti lenye Madhambi na KUMUUA Kikwete 2005, ILI Kikwete asipitishwe kugombea Urais. Mzee Huyu mlima nyanya Kweli ni mtu aw Chuki. HAKOMI. NAPE naye Huyu ni CCJ yupo pale kwa Hisani ya Marehemu baba yake. HATA na Akina CCJ wakiongozwa na mzee...
Jamani Mbona mnahangaika. HAKUNA UBISHI, EL in Rais ajae. Msimzushie ujinga. YEYE Yuko nje ya SERIKALI, mna lia lia nini? Yes uamuzi mgumu ni Ule EL alipojiuzuru ku-save AIBU ya SERIKALI. Iliyotengenezwa na Sitta na MWAKYEMBE.
Waambieni waliowatuma waache KUPIGA MAYOWE. Woga. Wa nini?
Hawa jamaa wamechoka Amani. CHA ajabu wanaotaka kukombolewa karibu Wote Wasomi Wazuri waliosomeshwa na CCM kwa upendeleo waKikanda. Wamesoma bure, sasa hawapati Ma BOOM ndiyo HASIRA inawafanya watafute majibu rahisi kwa maswala magumu. Fanyeni kazi! Acheni kuchagua shughuli za kufanya? Babu ZAO...
SUMAYE ANATAKA NNI SASA. MIAKA 10 ya U-PM. Alifanya nini. Mbona alijitajirisha sana. Alimtumia shemeji yake Bw. KEENJA kutumia makusanyo ya Kodi za JIJ LA DSM na kumjengea majumba huko KibaHa na
kwingine. Amenunua mashamba MAKUBWA Kila kona ya nchi. Huyu ni MBINAFSI. Wakati wake alijenga...
Nakubaliana na William. Kwa hili la Katiba CCM tusiendelee na kung'ang'ania Ya mwaka 47 na kukataa mabadiliko katika KATIBA AMA sivyo CCM itazikwa na SERIKALI zake Mbili. Hii 21st century ni ya majadilano na makubalano. Wana CCM wasidanganywe na waraka. Watumie bongo ZAO. Hongera kijana wa...
KWA CHAGUZI ZA KIBABE. ITABIDI WANAWAKE NA WAZEE WAWEKEWE VITUO VYAO VYA KUPIGIA KURA MBALI NA VIJANA. AMA SIVYO WATAOGOPA KUTOKA KAMA ILIVYOTOKEA ARUSHA. CHADEMA IMECHAULIWA NA NA WAPIGA KURA KIDUCHU. KATI YA WAPIGA KURA 60.000 waliojitokeza ni WAPIGA KURA 9800 tu.
CCM WAMUONDOE PALE ARUSHA...
NAULIZA HIVI LILE KUNDI LA WABUNGE WA CCM WALIOJULIKANA KAMA WAPAMBANAJI WA IFISADI WAMEFIA WAPI? Mbona wamepata kigugumizi CHA longolongo Yao ya RICHMOND, DOWANS NA SASA SYMBION. Jamani kulikoni. SITTA,MWAKYEMBE, na wenzao. Sasa wamenyoosha mikono kwa mchumi mahiri Mh. ZITTO KABWE. MWAKYEMBE...
ACHENI PROPAGANDA NYEUSI. LOWASSA ndiye Rais Ajae. UDOM ni wajibu awmuenzi EL . YEYE ndiye aliyekuja na WAZO la kuanzisha UDOM ILI kupokeawnafunzi wahitimu aw Secondary za Kata. AMA KWELI NIMEAMINI JF IN CHADEMA WATUPU. ROPOKENI TU
FUNGUENI MACHO FUJO KAMA HIZI KAMWE HAZITATOKEA MOSHI. WACHAGA NI MAJASUSI YA FEDHA, NA SASA WANAAMUA KUUA ILI WAPATE UONGOZI. AMKENI JAMANI FUJO HIZO NI KUTISHA UMMA WA TANZANIA. Hawa ni WAKABILA SANA. WANAUA NON CHAGA'S wenyewe wanatuita "VIASAKA" siyo watu.
Haaaaaa, WHAT A JOKE. WASSIRA amepitwa na wakati Jamani. Kule kwenye CCM na CC alishindana na Akina nani? Wote alishindana nao ni Wachanga kisiasa. Alishindana na Akina Makamba. Angegombea UNEC Wilaya ya BUNDA angepigwa chini. Huyo alikuwa NCCR Leo anataka Urais na U enyekiti wa CCM. Acheni...
Tatizo kubwa ni WIMBI LA WAPENZI WA LOWASSA ni kubwa sana na Sasa Membe, Sitta na wengine wanapigania chaguzi za Jumuiya zirudiwe. Ole wao chaguzi zikirudiwa ndiyo chanzo cha mpasuko. LOWASSA anapendwa na Wana CCM wachini kabisa, Wapiga KURA. Msimchanganye Mangula. Kilango ameshashindwa pamoja...
TUNALIPA DOWANS kutokana na KIBURI, JEURI, FITNA NA SIASA ZA CHUKI ZA SITTA na kundi lake la CCJ.
Ile Report ya Richmond ilipikwa na ikatangazwa kiufundi sana pale Bungeni.
SISI walalahoi tulimsifia sana MWAKYEMBE. Leo tunalipa Billion 96 na tunalalama nini????? Tulishabikia sana...
Sawa kabisa. Waalimu mmezidi kutumiwa na MKOBA kwa manufaa yake. Mlimkubalia mkafanya mgomo baridi na watoto wetu wamefeli. Sasa mnalalamika nini. Hivi waalimu wa mijini wanafundisha shule za kata na shule za Academy wakati mmoja. Hivi watoto wetu wasifeli kweli. Mkoba mtu mbaya sana na si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.