Search results

  1. H

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    hapa wanajikosha tu coz watu wameweza kulinda kura zao.
  2. H

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    hongereni sana
  3. H

    Naombeni msaada wenu

    kama hawajatenganishwa ma mahakama basi anatakiwa aende kwenye reconciliation board kama sheria ya ndoa inavyotaka na ikitokea hiyo board imeshindwa kuwapatanishwa watampa certificate na anatakiwa aende mahakamani ili aombe divorce na hii kama akishinda mahakama itaamuru mgawanyo wa mali kwa...
  4. H

    Uchaguzi Arumeru na kampeni za wagombea

    wakazi wa arumeru na watanzania wote kwa ujumla ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo mimi kwa mtazamo wangu kampeni zimekuwa za kutangaza mambo ya kufikirika tu kwani mimi sielewi kwanini hivi wanavyovisema sasa wasiviseme kabla ya kutokea kwa chaguzi. AMKENI...........
  5. H

    Yaliyojili jioni hii mahakamani kati ya Mnyika vs Hawa Ngh'umbi

    mtu anaenda mahakamani kufungua kesi kugombea kuwaongoza watu ambao wenyewe hataki awaongoze hili linahitaji shule?
Back
Top Bottom