Search results

  1. ThePromise

    Pads

    Mh!haya makubwa sasa!kumbe kutoka damu nyingi nao ni ugonjwa?kwani kulikua na tofauti kati ya siku za mwanzo(wakati ndo unavunja ungo)na kipindi hiki kabla hujazitumia hizo pads?
  2. ThePromise

    Mapishi ya Nundu

    Khe!inamaana humu ndani hakuna mtaalamu wa hilo?mbona hamumjibu mwenzenu?
  3. ThePromise

    nipepo kaniingia au nn?

    Amejitoa muhanga kwa zumbukuku!
  4. ThePromise

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    the same goes out to men also,wanawake pia wasikubali kuolewa na wanaume wenye hizo sifa.
  5. ThePromise

    Msaada

    Mme wa mama Nyerere.
  6. ThePromise

    Wazo la leo wakuu!!!

    Raha ya kujikuna uwe na kucha!
  7. ThePromise

    masai na dereva

    ha ha haaaaa!wamasai nao kama bushmen wa the gods must be crazy!
  8. ThePromise

    masai na dereva

    uwiii mbavu zangu jamani!
  9. ThePromise

    Vunjambavu Vunjambavu Vunjambavu

    waambie wakate 150 ndo watakujibu mkuu!la sivyo utasubiri wee hapo hadi uote nyasi!
  10. ThePromise

    Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Thanx madam!!!
  11. ThePromise

    Namna ya kurusha ndege....

    Akapigie misele baharini.
  12. ThePromise

    The Mathematician and women!

    Nilijua tu ni hii!
  13. ThePromise

    Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    zitaenda wapi ndugu yangu?bado zipo tu,sema ye hawezipata ajali si apita katika msululu na anaongozwa na king'ora cha polisi mbele!
  14. ThePromise

    Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    Bora atatumia muda mwingi ardhini kuliko angani!
  15. ThePromise

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Kunawatu wanajidai mabingwa wa usafi wanaingiza midole hadi kwa ndani eti wanajiswafi,ukiwaelewesha wabishi kama nini!
  16. ThePromise

    Simu za mchina noma...!

    Hongera kwa kua na simu kubwa kiasi hicho!
  17. ThePromise

    milembe bure!

    Wabongo kwa vya bure tu,hata ukiwaambia jehanamu bure watakimbilia tu!
  18. ThePromise

    Memory test!

    UTII,UWAJIBIKAJI & UBUNIFU.Ushasahau wimbo wa shule?
  19. ThePromise

    Mi naona kila mtu agawanyiwe

    Mie nmewahi ka-tower kamoja kati ya vi-twintower hapo posta,katembo kamoja kajike kenye mimba,katofali kamoja ka gold na kamoja kasilver,nyerere road na kakituo kamoja ka polisi sina uroho wa mali mie.
Back
Top Bottom