Yupo mpenz wang enz hzo za kulala mchana! Maza akawa anamaind kiseng af wenyw hawatak kulala so wakawa wanacheza kitandan! Siku moja maza akawafuma wanacheza af wakampotezea kidizain flan hv et wamelala! Maza si kauliza aliye lala kwel anyooshe mkono juu kama hujalala fimbo! Lol! Shemej yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.