Search results

  1. Kiba

    Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

    Bunge linavunjwa tar. Ngapi jamani
  2. Kiba

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    PROTII dingi mmoja matata sana moshi dc, mkuda. the late,
  3. Kiba

    Kwa ubambuzi huu wa nguvu mnahaibisha sera ya "Elimu bure"

    Ni kwamba wakija nyumbani kufuata hiyo hela wanakupiga faini ya 5000 ya muda wao.
  4. Kiba

    Kwa ubambuzi huu wa nguvu mnahaibisha sera ya "Elimu bure"

    Ndg zangu nawasalimu. Kumekua na watu wachache wanaopenda kula kiulaini katika kijiji cha Ngaritati wilayani Siha wanaofanya ubambuzi wa nguvu wakidai wanabambua sh 9000 ya chakula cha wanafunzi wa shule ya msingi Ngaritati pamoja na sh 5000 ya miguu. Ikumbukwe kwamba asilimia kubwa ya...
  5. Kiba

    Natafuta mke mwema

    Hello wana JF, Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25. Aliyetayari anicheki 0743602065
  6. Kiba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani mbona huyu jamaa sijawai kumuotea ananikomba tu
  7. Kiba

    Waziri ataka wapiga debe waondolewe Dar

    Mashamba yako wapi sasa hapa dar.
  8. Kiba

    msaada

    wandugu nimeibiwa kitambulisho changu na jina lipo kituoni nifanyeje?
  9. Kiba

    Nafasi ya kazi

    Uongozi wa Sunshine academy iliyopo Lamadi eneo la makanisani wilayani Busega, unatoa nafasi ya kazi kwa Mwl. Sifa: Awe na ECD certificate au diploma Awe anaishi Busega. Awe ndio katoka chuo. Kwa mawasiliano piga namba +255756506024 email amedeusmushi88@gmail.com au tuma sms kwenye whatsapp...
  10. Kiba

    Swali : Kuhusu Elimu ya Ukimwi

    Ngd zangu niwasalimu katika amani na maendeleo ya nchi? Nchini Africa Kusini hivi majuzi rais Jacob Zuma alisaini law iliyopitisha watu wote wenye HIV kuwekewa ndui pajani ili ukikutana naye kimwili ujijue unaangamia , je kwetu watazuia vipi janga hili la kitaifa linalokuja kwa kasi...
  11. Kiba

    Tanzia: Dkt. Ulomi wa hospitali ya Mkula, Busega afariki dunia

    Alipata ajali ya pikipiki akapasuka kichwa I
  12. Kiba

    Tanzia: Dkt. Ulomi wa hospitali ya Mkula, Busega afariki dunia

    Punzika kwa amani Dr. Gabriel Ulomi .Dr Ulomi aliyekuwa Mount Meru hospital na kuamiishiwa Mkula hospital iliyopo katika wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Nimepata taarifa kuwa hatunaye tena na ni miezi isiyozidi sita tangu awasili Simiyu. Wale mliosomea KCMC udaktari mtamkumbuka sana huyu daktari.
  13. Kiba

    Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Hapana bila kuwafukuza kazi mkuu wa wilaya ya Busega na mkurugenzi wake pamoja na kutengua uwaziri wa Titus Kamani. Baada ya hapo kurudia uchaguzi ili kurudisha uamiminifu wa wanabusega kwa serikali.
  14. Kiba

    Kweli CCM ni chama cha watu wa peponi

    Watanzania wenzetu kama nilivyoripoti toka jana Habari za mabomu na risasi Busega kisa raia wanataka wampendae na serikali ya ccm haiwapendi. jana kulitokea maafriko ya mabomu risasi na wananchi wengi walipigwa vizungu . jeshi la polisi Lamadi ndg zangu mnaliacha wapi? Polisi lamadi wote...
  15. Kiba

    Lamadi Busega mkoani Simiyu mabomu yanarindimba tangu saa nne asubuhi hadi sasa

    Ni msemo uliozoeleka kuwa Tanzania nchi ya amani lakini leo mkoani Simiyu katika kijiji cha Lamadi amani hiyo kwa mara ya kwanza imetoweka baada ya FFU kuanza kutumia mabomu kuwatawanya wananchi waliokataa kupiga kura jana na hatimaye uchaguzi huo kuhairishwa hadi leo. Sababu za uchaguzi huo...
Back
Top Bottom