Search results

  1. Fanto

    Hivi yale makelele ya Mgao wa Umeme na Sukari kuadimika yameishia wapi?

    Mwenzetu uko sehemu gani ya nchi ambako mgao wa umeme 'umekuwa historia' na sukari inapatikana kwa wingi ikiuzwa kwa 'bei elekezi'?
  2. Fanto

    Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Kwenye maonyesho kama haya, si rahisi nchi kuonesha nguvu yake halisi ya kijeshi.
  3. Fanto

    Katibu Mkuu wa Wizara anaruhusiwa kupigiwa salute, kukagua Gwaride na kufunga mafunzo ya majeshi?

    Yawezekana mtu mwenyewe ni askari. Kumbuka awamu hii askari wengi wameteuliwa kushika nafasi mbali mbali nje ya jeshi.
  4. Fanto

    Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

    Hii clip ya mwisho inaonekana kana kwamba Bw Mkubwa kachapa maji ya kutosha. Rais asiruhusiwe kuhutubia umma under the influence of alcohol!
  5. Fanto

    Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    Kama wamekosa fedha ya "kufanikisha mambo yao" walikotoka, ni dhahiri wakiikosa walikohamia watahama tena!
  6. Fanto

    Bulendu: Haya ya Kenya hata katiba ya Warioba ilipendekeza ila watawala wakadadili watakavyo wao

    Wanaojinasibu kuwa karibu na Wananchi, kuwa upande wa wanyonge na wanaowasikiliza wasio na sauti ndiyo hao hao waliosimama na kupaza sauti zao wakijifanya kumbeza Mzee Warioba lakin kiuhalisia walikuwa wakiwabeza Watanzania hawahawa waliokuwa wanawalipa! Kumbukumbu zipo Watanzania wanawajua na...
  7. Fanto

    Licha ya mahakama kuwapa dhamana, 51 wa CHADEMA waendelea kusota Mahabusu

    Gari la kuwapeleka gerezani linapatikana kwa urahisi kuliko la kuwatoa gerezani kuwapeleka mahakamani ili wakaachiwe huru! Mungu anawaona wanaochezea haki za watu.
  8. Fanto

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Prof Kabudi anaongoza Wajumbe wangapi na ni kina nani?
  9. Fanto

    Unaweza kuwadanganya watu wachache muda wote, lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote

    Makala nzuri Bw Mpendazoe. Bahati mbaya umeruhusu mapenzi yako kukutawala wakati unaandika makala yako. Umewasilisha mabaya pekee toka upande usioupenda na mema pekee toka upande uupendao! Sisi tusio upande tunayaona mema na mabaya ya kila upande.
  10. Fanto

    Hii habari ya sijui Rais kuongoza milele, mbona kama inashika kasi? Is it a coincidence?

    Hakuna kisichowezekana dunia hii hasa kwenye siasa. Kwa kuwa kwenye siasa kuna janja janja nyingi, ulaghai na uongo uongo mwingi, yatupasa kuwa makini. Watu walipuuza kauli hizi zilipokuwa zinatolewa na watu wepesi wepesi. Kwa kuwa sasa imetamkwa na "retired political heavy weight" yatupasa...
  11. Fanto

    Kufungiwa Mawio: Kubenea atema cheche, ahoji uhalali wa serikali kuwapangia cha kuandika

    Kichefuchefu cha sheria hii ni kumpa Waziri mamlaka ya kuwa mlalamikaji, Mwendesha mashitaka na Hakimu kwa wakati mmoja.
  12. Fanto

    Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    Mhujumu uchumi ni mhujumu tu, mwizi ni mwizi tu, aliyefuja mali zetu kafuja tu, aliyetumia madaraka vibaya kayatumia vibaya tu. Yuko CCM, CDM, UKAWA, au hana Chama haiondoi makosa yake. Cha msingi ni kuwa wachukuliwe hatua bila kujali wanatoka Vyama gani vya siasa. Kuna waliofanya ufisadi na...
  13. Fanto

    Uingereza na Israel hawana katiba sisi mishipa ya shingo inatutoka

    Kwa nini kama taifa tu Li Kwa nini kama taifa tulikubaliana na kutumia mabilioni ya pesa za walipakodi wa nchi hii kukusanya maoni ya Wananchi, kuunda Bunge la Katiba na kisha kupata Katiba Pendekezwa? Kwa nini tusingekubaliana tu kwamba kwa vile Uingereza na Israel hawana Katiba zilizoandikwa...
  14. Fanto

    Sijaona kosa la Rais Magufuli kujenga kiwanja cha ndege Chato, hata Nyerere alijenga Musoma

    Mpaka Mwl anafariki kulikuwa na kibarabara tu cha vumbi cha kushukia ndege. Sijafika Musoma miaka kadhaa, ila nasikia kibarabara hicho sasa hivi ndiyo kinabadilishwa kuwa uwanja wa ndege kwa kukiwekea lami. Inasemekana Chato kunajengwa uwanja wa ndege wa kimataifa kweli? Mwl hakufanya hivyo Musoma.
  15. Fanto

    Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

    OK, Mwakyembe alikuwa na ushahidi unaojitosheleza kwa hiyo hakuona sababu ya kumhoji Lowassa! Safi. Balile alikuwa na ushahidi unaojitosheleza lakini alikwenda hatua moja ya ziada hivyo akaamua kumtafuta Mkuu wa Mkoa ili amhoji. Bahati mbaya Mhojiwa alikimbia! Inashangaza Dr wa sheria kuiponda...
  16. Fanto

    Kumbe uwaziri unanoga, Nape kielelezo

    Nape ni Mbunge na sasa hivi anawawakilisha vizuri zaidi Wananchi waliompa Uwakilishi. Sasa hivi yuko karibu zaidi na Wapigakura kura wake na anayaona kwa uwazi zaidi matatizo ya Wananchi kwa sababu hayuko "bize" na majukumu ya Uwaziri. Hapa ndiyo hoja ya Mbunge kutopewa Uwaziri inaposadifu.
  17. Fanto

    Kumbe uwaziri unanoga, Nape kielelezo

    Nape ni Mbunge na sasa hivi anawawakilisha vizuri zaidi Wananchi waliompa Uwakilishi. Sasa hivi yuko karibu zaidi na Wapigakura kura wake na anayaona kwa uwazi zaidi matatizo ya Wananchi kwa sababu hayuko "bize" na majukumu ya Uwaziri. Hapa ndiyo hoja ya Mbunge kutopewa Uwaziri inaposadifu.
Back
Top Bottom