Search results

  1. M

    Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE

    Jamani rais ni lazima awe na ndege ya kusafiria. Tatizo la nchi kutokuwa na ndege ni tatizo lililotokana na watu ambao sio wazalendo. Hivyo lawama hizi hazitakiwi kwenda kwa rais japo na yeye anayo sehemu kubwa na kuweka dira ya nchi.
  2. M

    JK ziarani Brazil kwa siku tano (Source TBC1 habari)

    vipi jamani rais wangu sijaona brazil akipokelewa na mwenyeji wake?
  3. M

    I need a born again husband

    Bado hujatumia njia sahihi ya kibiblia.
  4. M

    I need a born again husband

    njia uliyotumia kutafuta mchumba/mume wa kukuoa siyo za kibiblia hata kidogo! Sikulaumu huenda ni ukosefu wa mafundisho au wewe nit mtoto mchanga kiroho. Nipigie simu 0767006289 ili nikuong9oze kwenye njia ya mungu.
  5. M

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Naungana na Jasusi. tusimshambulie EL. Kwa maoni yangu MCC nzima watu wameichoka wanahitaji mabadiliko ya kweli. Hata yenyewe ikijirekebisha ikawa na nia ya that ya kutumikia wananchi watu wataipa kula. Mpamba KK
Back
Top Bottom