Itakua KIdata labda anasahisha wenyewe kajifungia chumbani au HRs wapo busy kupika matokeo kwa wasailiwa wanaowataka. HAIWEZEKANI, waondoe utaratibu @sekritarietiyaajira kwa kigezo cha kuchelewesha mchakato, then wao wasahihishe mitihani kwa zaidi ya mwezi moja. Si wangewauliza hata sekritariati...
Haya mawazo tuyapinge, ajira kwenye utumishi wa umma zibaki kuwa za ushindani na zisizo na upendeleo. Tukianza haya mawazo, itaenda kwamba sasa zigawiwe kifamilia(royal families), kikabila, kichama nk
Kibaya zaidi hata zikigwiwa kwa kwa familia fulanifulani, bado hazitatosha baada ya muda...
Mwandishi nadhani hajasoma SP ya TRA ambayo anazo hizo projections zote tena si kwa kipindi fulani tu, bali kwa miaka kadhaa mbele.
Pia, nikubaliana na ww kwamba kiini cha wapi TRA watakusanya ni matokeo ya Sheria ya Finance inyopitishwa kila mwaka na BUNGE.
Hahahhaha! Na wale wa asali na sukari gulu kuna ;la kujifunza. Mmesikia suala la vijana wadogo wa TRA??? Vijana utumishi wa umma ni kama wito usitegeemee kwenda kuwa tajiri kupitia rushwa.
Twitter ni powerful and viral, retweets zingekua kibao, notifications za mama na naibu waziri zikijaa mbona faster jobless wanachomoka toka kwenye magunia ya database
Ufanisi Ufanisi ni Kilio; siku nepotism zikiondoka kwenye hayo mashirika labda utaonekana.
"Kuna taasisi nyingi za serikali zinapeleka maombi katika Wakala wa Huduma za Ununuzi (GPSA) lakini muda mrefu GPSA inachukua,nadhani tuangalie sasa kama kuna haja ya kuendelea kuwa nayo, maana...
"Kufikia hapa tulipo kuna haja ya kufanya tathimini kama baadhi ya mashirika ya umma yanafaa kuendelea kuwa nayo, yale yanayofaa yaendelee na yasiyo na tija yafutwe. Mashirika mengi yanachuma fedha kutoka serikalini lakini yenyewe haileti fedha serikalini" Rais Dkt.
@SuluhuSamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.