Search results

  1. Y

    Kuna kitu sielewi kuhusu mpaka wa Tanganyika & Z'bar

    uko mkondo wa nungwi
  2. Y

    Mh. DC wa Mbozi aliyejiuzulu amjibu RC Mbeya!

    Hata hukumu ya Lema Mbunge ilijulikana siku tatu kabla,Hii ndo serikali ya Magambakama movie vile kudadeki.
  3. Y

    CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    watajibeba mwaka huu.
  4. Y

    List ya Waliomwagwa Uwaziri+Unaibu

    nyota ya Nundu imezimika kwa kasi ya ajabu,huyu mzee ukisoma cv yake utaogopa sijui pepo hili limemtokea wapi,Tanga mnagundu kweli.Mtoa msomi mwenye CV International,ameishia kwenye fedhea ya ubadhirifu.Arudi ulaya sasa,hehehehehehe JK nomaame mTIDO kudadeki.
  5. Y

    Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

    cha msingi walio tafuna mamilioni wapandishwe kizimbani.
  6. Y

    Huyu mwanamke muuaji

    wakati kwako kunaungua kwa mwenzako kunawaka.
  7. Y

    Unaniacha kwa vile umepata unachokitaka.

    na yeye anakuwa amepata alichokitaka.
  8. Y

    Habari, Seriously nahitaji mchumba

    miaka 30?,kwa waislam ushaowa na kuacha wewe...
  9. Y

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    mawaziri wengi wa tanzania ni wezi wa sarilimali za taifa.kila waziri anakwiba alipo shipa ila maige ameshika penye kula waliwemo wa madini,fedha nk
  10. Y

    Uvccm Arusha waanza kufukuzana

    vita ya panzi hiyo,furaha ya....................... Mnalo hilo,lakwenu.......mtakoma na kucheza na akili za watu.....
  11. Y

    Arusha - Mauaji ya kutisha jana tishio kwa wimbi la mageuzi?

    Taarifa nilizo zipata kutoka kwa mjirani wa Sombetini kuliko misiba,hawa jamaa ni wezi na majambazi maarufu Sombetini Wanaiba kwenye mpesa,wanakaba watu kweupe na wenyeji wanawafahamu kwa kazi hizo. Inaelekea polisi wamesha kwenda sana na wana achiwa sasa sijui wameingia anga za watu gani...
  12. Y

    CV ya William Lukuvi

    huyu jamaa ni hewa,o level atakuwa alifeli na a level hajakanyaga. Alafu kakusanya certificate kibao ambazo hata TCU hawazitambui,then katoboa BA,inachekesha hii.
  13. Y

    Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK

    Unajua serikali ya CCM ukifuatilia yanayo jiri kila siku,unaweza ukashikwa na uwendawazimu. Waliniacha hoi juzi usiku wakati mbunge wa nkasi kupitia CCM akigomba na serikali ya chama chake utadhani yeye yuko upinzani. Kweli CCM haijui kula na vipofu,sasa walewale wanao jua mianya ya kulia hela...
  14. Y

    Namkubali naibu spika mh Ndugai

    Wabunge wa CCM akiwemo ngugai wamegungua kuwa wananchi wamewaweka kwenye Micriscope,wakijichanganya tu,2015 hawana chao,Nadhani wanajua kilichotokea Arumeru Ngoja niwakumbushe kigodo KATIKA KATA 19 NA VITONGOJI VYOTE VILIKUWA CHINI YA CCM,MWANA CDM NASS JOSHUA AKASHINDA UBUNGE.hii inamaanisha...
  15. Y

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    Mimi mbunge wangu ni Pinda,hapo kichwa kinaniuma Ila kwa sasa niko Arumeru nina access na nassari sina shaka nae Sasa kazi kwelikweli
  16. Y

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    Tafsiri ya mizigo isiyo bebeka ni ipi? Mi nadhani uko sahihi kabisa,hela mlizokuwa mnawapa,wamekula na bado hawaridhi,hiyo ndio mizigo isiyo bebeka Sasa wamekuja cdm ambako wanatakiwa wachangie walichonacho hata kama ni tshs50,inauma hiyo.
  17. Y

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    tulieni,tulieni,tulieni Tulia,tulia,tulia Hilo ni swaga la Mh lema akituliza mzuka wa wana CDM Arusha ni raha tupu,vijana wanafurshia mno ujio wa wana ccm ndani ya cdm. Wamasai nawapenda sana,wana msimamo Akigeuka mmoja kulia,wanageuka wote Millya ameondoka na wengi CDM Mpokeeni millya...
  18. Y

    jifunze kuh

    hivi hata jf kuna vichaa?,naona mwezi uliandama wakai jamaa anataka kupost thread.
  19. Y

    Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

    huyu jamaa ananongwa,mpotezeeni.
  20. Y

    Vijiwe maalumu vya vibaka

    Maisha mazuri kwa hali mpya,nguvu mpya na kasi mpya Maisha mazuri kwa hali zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom