Wewe ndio mtoto, kama hujui Kagame ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Hata walinzi wa Rais wanaovaa nguo za Kijeshi ni wa Rwanda sio Watanzania. Huyu Magufuli amwewekwa tu pale kama picha.
Huyu ni kiongozi aliyeletwa kuliangamiza Taifa la Tanzania na muda ndio huu. Muda si mrefu tutafikia ilivyo LIBYA na Siria au Yemen. Niliandika siku moja humu kuwa ''YA BURUNDI, YA DRC, YA RWANDA, YA UGANDA NI SAWA NA YA TANZANIA moderator waliojaa uoga wakaifuta fasta. Lkn tambueni kuwa mtu...
Tumeamua kwenda huku waliko Waganda, Wanyarwanda, Wakongo Man na Wenzetu wa Burundi. Tutafika tu. Bado kitambo kidogo takribani miaka 24 (10 +14) tu kufika huko. Ibara za 40 (2) na 42 (3) zimepitwa na wakati sasa.
Kwa kusema kweli haya ni maneno ya busara lakini ya kujitoa mhanga. Nchi hii kwa sasa inawaka moto kimya kimya. Ndio maana hata makamanda wetu wamekufa huko DRC lakini hakuna mwananchi anayejali kwasababu inaonekana hii nchi kwa sasa ni watu wachache kwhy wameachiwa msiba wao waendelee nao...
Huyu mzee hajashika sumu mkononi kumzuru Tundu wetu kweli? Lazima tuwe makini sana hapa. Kwanza nina wasiwasi na Makamu wa Rais Samia Suluhu kama hakuacha vimelea kule hospitalini na sasa na huyu tena aliyetangaza kuunga mkono Magufuli kutawala milele naye asiache sumu au vimelea pale kitandani...
Sijajua kama hapa kwetu pako salama. Kwa jinsi wanajeshi walivyo na tetesi tetesi zilizopo huko makambini kwamba Jen. Mabeyo anawatesa na kuminya haki zao huenda siku yoyote atafurumshwa yeye na aliyemuweka pale. Jeshi si la kuchezea Capteni tu wa Jeshi anaweza kumkimbiza Jenerali na vibaraka...
Ndugu Watanzania wenzangu mnaotumia usafiri wa Mwendokasi na msiotumia kwa sasa hali ni mbaya sana kwa wanaotumia usafiri huu. BRT wameshindwa kabisa kutoa huduma ya mwendokasi na hawana kabisa mbinu mbadala ya kuboresha usafiri huu.
Ukitembelea vituo karibuni vyote vya mwendokasi utakuta...
Kwanza Mbeya hawana shida yoyote na Rais wao wanafanya mambo yao hata kama Rais hatakuwepo. Mbeya wana Marais wengi sana wa kuweza kupata maelekezo kutoka kwao kama Rais wa Zambia, Rais wa Malawi, Rais wa DRC kwahiyo hata kama Rais wa Tanzania hatafika maendeleo yatakwenda kama kawaida.
Mbeya...
Hivi itakuwa mara ya ngapi anafanya ziara Mwanza tangu aingie madarakani, huku maeneo mengine hafikiriii kuzuru kama Ruvuma, Mbeya, Katavi, Iringa, Njombe, Songwe, Rukwa?
Hakuna gari lililotengenezwa huko Moshi. Magari yote yalisafirishwa kutoka Mikoa mbalimbali na kupelekwa Moshi ionekane yalikuwa yanatengenezwa kumbe kanyaboya tu.
Watanzania kwa sasa ni waelewa sana hatudanganyiki na hizi siasa za maji taka. Kwa taarifa yako magari yenyewe yalisafirishwa kama...
Hivi unaongea kitu ambacho unakielewa au unatudanganya hapa? Magufuli ameuza nyumba za Serikali kwa bei ya kutupa, mbaya zaidi kawauza maharaza zake wote. KEBBY'S HOTEL pale Mwenge imejengwa kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania lakini ni ya hawara. Nyumba kwa akina Magufuli kumejengwa kanisa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.