Nmeshkwa na simanzi sana baada ya kusoma kilio hiki cha mtanzania ambaye amechoka na uongozi mbovu wa watu waliofoji vyeti vyao vya elimu ili wawanyonye watz mil 41.............jaman sisi kama watz,japo hawa mafisadi wamekosa uzalendo basi tujitahidi kuwa wazalendo na wenye mshikamano ndio...
Me nkiwa rais viongoz wote walopta nawafilis halafu ikiwa hyo haitoshi nawaua,maana nkiwafunga watakuwa wanapata ugali wa bureeeeeeeeeeeee................................:A S-rap:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.