Search results

  1. Azipa

    The bottom of the barrel

    People like you are the reason why we never move forward as a country. You always wanna dictate what people should think or say You know what Magufuli is grabbing the imperialist by the scruff of his neck. We are competitors they can't put up with. For your information compensation case is just...
  2. Azipa

    Godbless Lema amtaka Mo Dewji kuwa jasiri na kusema ukweli juu ya kilichomtokea

    Single haikukubalika kwa Watanzania sasa anajaribu kuiuza kwa wasio Watanzania. Kwa mtu ambaye hajui Kiswahili, mtu ambaye hajaona press release za polisi juu ya tukio la Mo anaweza akauamini huu uongo wa Lema na hiyo ndo dhamira yake kwa sasa. Analenga watu ambao siyo Watanzania hawajafuatilia...
  3. Azipa

    Kutekwa na kuachiliwa kwa Mo ni baraka kwa Serikali ya Magufuli

    Watekaji walibadili muonekano wa gari. Haikuwa rahisi kulitambua lile gari. Na kama tulivyosikia comments za wengine movements za magari zipo maeneo ya Gymkhana, pana hospitali ya Ocean road n.k
  4. Azipa

    Tundu Lissu: IGP Sirro Usitishe Wakosoaji, Safisha Jeshi la Polisi

    kwa upande wangu ni swali hilo tu na siyo hayo mengine linaweza kuishinikiza polisi kujipanga upya je kuna ushahidi wowote Sirro alisema hilo gari lilingia kutoka Kenya? Kurekebisha tu hizo herufi tatu za mwanzo ni AGX siyo AGC
  5. Azipa

    Kenzo

    I watched this video by Kenzo. You wouldn't tell he is a Tanzanian artist, the video was shot on what seems to me like Cape Town's Long street. The people involved seem to be really enjoying themselves. The Tanzanian flag in the background is what will get you guessing whether he is a Tanzanian...
  6. Azipa

    Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    FBI au Scotland Yard waje kuinvestigate shauri ambalo halina muhusika wa nchi zao? Vipi suala la jurisdiction? Tukumbuke taasisi hizo ni za umma wa nchi husika. Labda hapa akodiwe private investigator Mmarekani Steve Rambam, Paula Zahn etc
  7. Azipa

    Kwa wenye kufikiri nyuma ya pazia tukutane hapa, kwanini serikali imewakamata wala escrow?

    Nakubaliana na wewe kuwa hapa serikali inajisafisha ionekane inachukua hatua ila sidhani kama serikali ina wajibu wa kuilipa SCB-HK. Hawa hata kwenye kesi yao ambayo imefunguliwa Uingereza wanaishitaki IPTL, VIPEM na PAP. Serikali ilikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuilipa IPTL kupitia escrow...
  8. Azipa

    Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

    Ulitaka iweje? Sidhani kama serikali ishawahi kuzuia dhahabu kutoka. Ilichozuia ni makinikia kwakuwa humo kuna madini yanatoroshwa kwa kutoorodheshwa. Kwasasa tusubiri marekebisho ya sheria yatakapoanza kutumika ndipo tutapata mamlaka ya kuzuia hata hiyo dhahabu
  9. Azipa

    Waziri wa Mambo ya Nje afafanua Kutokusafiri kwa Rais Magufuli

    Aanze kwenda nje asiogope na hasa kama atapata mkalimani mzuri kama Constantine Magavila. Watu watavutiwa sana huko atakakoenda. Constantine had mastered the art of speaking since he was in high school. He is a perfect candidate
  10. Azipa

    Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

    Huwa linanikosesha usingizi hili suala. Hapana ubaya kama tutatumia Kiingereza tangu msingi hadi sekondari na elimu ya juu. Nchi zingine zote ambazo zinatumia Kiingereza kufundishia, hufanya hivyo tangu chekechea. Nionavyo mimi wakati muafaka hasa wa kujifunza lugha ni utotoni na siyo ukubwani...
  11. Azipa

    Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

    Ndio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!
  12. Azipa

    Rais, Tanzania si chochote katika utalii

    Msumbiji na Afrika kusini wanashirikiana bega kwa bega kwenye suala la utalii. Kuna la kujifunza hapo. Mara nyingi utaskia waziri wa utalii wa Msumbiji yupo Afrika kusini. Na pia ukiwa Msumbiji utayaona magari with South African license plates. Ni mengi unaweza ukajisahau ukadhani bado umo...
  13. Azipa

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Unaelewa tofauti ya kodi(tax) na ada(fees) wewe? Niambie malipo ya kuzuru mbuga za wanyama yanawezaje kuwa tax? How do they calculate in terms of percentage if it's tax?
  14. Azipa

    Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Hawakutaka rais aonekane anatumia mkalimani
  15. Azipa

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Have you factored in the fact that India is experiencing overpopulation? Can you compare the economy of India with ours? That's why I gave the example of South Africa that living in slums or shacks is just a cliche these days. You live in a nice brick house, right? when your aunt goes to...
  16. Azipa

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Have you factored in the fact that India is experiencing overpopulation? Can you compare the economy of India with ours? That's why I gave the example of South Africa that living in slums or shacks is just a cliche these days. You live in a nice brick house, right? when your aunt goes to...
  17. Azipa

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Have you factored in the fact that India is experiencing overpopulation? Can you compare the economy of India with ours? That's why I gave the example of South Africa that living in slums or shacks is just a cliche these days. You live in a nice brick house, right? when your aunt goes to...
  18. Azipa

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    If you think living in slums was worse you should go to South Africa. Blacks live in shacks, but they've got everything from a flat screen tv, fridge, washing machine to expensive cars you name it in those shacks. Their government cares for them. They have flushing toilets, clean tap water safe...
Back
Top Bottom