Search results

  1. T

    Ph.D bila kupata Master

    Usijali la fiesta. Kama nia yako ni kwenda havard usikate tamaa. Nenda US kasome bachelor inayoendana na ile unayoitamani ya Havard kwenye university yeyote hata kama ni ya kata na u-uperform vizuri. Hii itakusaidia kuingia kwenye system ya education ya US.Usisome diploma wala ndugu yake na...
  2. T

    Ph.D bila kupata Master

    Swali zuri. Unaweza kupata PhD bila masters kama ambavyo unaweza kupata masters bila bachelor!. Southampton university kwa mfano wana kitu kinaitwa integrated degree(sio course zote) yaani mtu anaingia kuanza kusoma bachelor ya four years but kiukweli bachelor yake inakuwa ni three years ila...
  3. T

    Saed Kubenea - Mapendekezo ya Katiba Mpya

    That's good. Muungano vipi Saed?. I appreciate ur contribution.
  4. T

    Kuna mdau anawafahamu vizurI CPF Kampuni ya kithailand na GRM-International

    Wanazalisha na kuuza kuku, bata, mayai, samaki, nguruwe, seafoods etc. Wanapackage vyakula vyao in different forms. Kwa mfano mayai yapo mpaka kwenye gallon! 3 ltrs, 2 lts, 1ltr etc. Kuku, samaki, etc vivyo hivyo katika form mbalimbali but not in litres.Pia wanajihusisha na kilimo cha mazao...
  5. T

    Interview Research assistant II at TPDC

    I thought utauliza maswali ambayo yatakusaidia ushinde interview like JD za hiyo kazi n.k and not mishahara na marupurupu ambayo yako set already
  6. T

    Hii imekaaje? Ni sahihi kweli??

    Bado hujaeleweka vizuri. Unasema mmekubaliana na tayari umeshapewa kazi.Umepewaje kazi? kwa mdomo au kwa contract?. kama umesaign contract nafikiri terms ziko wazi na huna haja ya kupaparika as long as wamekwambia watakupigia na kama huwezi kuanza hiyo kazi mpaka wakupe ticket then tulia na...
  7. T

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    Duh, Hutaki Unaacha akishakuja tu hali ya hewa nchini na JF huwa inabadilika kwa muda..Ngoja kwanza nikae chini ili nisome nikiwa nimepumzika..Mama watoto lete juice!
  8. T

    Waliowahi kushika uongozi wa serikali ya wanafunzi vyuo vikuu wafuate nyayo za Zitto Kabwe

    Matiko Matare hakuacha kwa hiari ila alifukuzwa baada ya kuongoza mgomo mkubwa wa 1990 uliotikisa nchi kwani ulikuwa una lengo la kumwondoa Mwinyi madarakani. Sikumbuki kama Luhanga ndiye alikuwa VC. But I remember VC alikuwa Mmari. Luhanga ameanza 1991. Matiko alipelekwa kijijini kwao kwa...
  9. T

    Nisome Degree nyingine?

    Muombe Mungu kwanza akupe ushauri mzuri. Kama umemuomba basi yawezekana ni kupitia hii thread waweza kupata ushauri mzuri ingawa Shetani anaweza kujipenyeza pia. Nakushauri kuwa; 1. Sio lazima ufundishe, yawezekana Mungu hajakupangia hilo na wewe umezuia blessings nyingi kutoka kwake kwa...
  10. T

    Looking for microfinace partner

    weka namba ya simu nikupigie tufanye biashara haraka.
  11. T

    Miaka miwili interview moja

    Usijali, muombe Mungu atakupatia. Mungu hajawahi kushindwa kitu..Msome Mungu vizuri na umuelewe ili ujue anataka ufanye nini..Angalia hapa chini kuna Tutorial Assistant-ship pale open university. http://www.out.ac.tz/gallery/announcement/vacancy.pdf
  12. T

    Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Tumfanye Lowassa awe taasisi sasa maana hata akijikuna utasikia "Lowassa katumia mkono wa kushoto badala ya ule wa kuume alipokuwa anajikuna. Mkewe Regina ashuhudia!!"
Back
Top Bottom