Search results

  1. H

    ACT Wazalendo kesho kuunguruma na waandishi wa habari

    *TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI* Kesho tarehe 26 Machi 2019, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe atazungumza na waandishi wa habari. Muda: Saa tano kamili asubuhi Mahali: Makao Makuu ya Chama Kijitonyama Dar es salaam. Waandishi wote mnakaribishwa. Ado Shaibu, Katibu wa...
  2. H

    Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe, Pemba

    Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe kwa Viongozi wa Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Ndugu zangu mliokuwa viongozi wa matawi, kata, majimbo na wilaya wa wilaya ya Mkoani, ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Pemba kwa kumuunga mkono Maalim...
  3. H

    Kuadhimishwa siku ya wanawake lazima kuibue fikra zitazomfungua mwanamke minyonyoro:

    KUADHIMISHWA SIKU YA WANAWAKE LAZIMA KUIBUE FIKRA ZITAZOMFUNGUA MWANAMKE MINYONYORO: Historia: Sikukuu ya kwanza ya Wanawake, inayoitwa "Siku ya Wanawake wa Taifa," ilifanyika Februari 28, 1909, huko New York, iliyoandaliwa na Chama cha Socialist of America kwa maoni ya Theresa Malkiel. Ingawa...
  4. H

    Fuatilia Live Kongamano la Wazee wa Upinzani

    Majumuisho ya Kongamano la Wazee wa ACT Wazalendo Tazama live
  5. H

    SIASA, FURSA NA HESHIMA by Ado Shaibu

    SIASA, FURSA NA HESHIMA "Mwenezi kuna nini unapata ACT?" "Wanakupa nini?" Maswali hayo na mengine mengi ya namna hiyo ninakutana nayo mara kwa mara kutoka kwa vinywa vya wenzangu, hasa vijana. Wengine huenda mbali zaidi: "Mwenezi ni mtu mkubwa Bwana! Tugawane hivyo wanavyokupa ACT" Katika dunia...
  6. H

    Zitto Atoa Tamko kali Kufungiwa kwa Mawio

    Na Zitto Kabwe. Maamuzi wa kufungia gazeti la Mawio unapaswa kulaaniwa na kila mwanademokrasia. Uhusika wa Marais wastaafu kwenye mikataba ya madini umesemwa na Rais Magufuli Mwenyewe sio Mawio. Hakuna mkataba ulioingiwa bila Baraza la Mawaziri kuidhinisha. Kitendo cha Kamati ya Rais kutuhumu...
  7. H

    Kumbe Zitto Kabwe aliyoongea haya fuatilia Mjadala Wa Bunge

    Someni na hii ya mwaka 2010 MJADALA WA KUTUNGA SHERIA YA MADINI 2010 Mkutanoni Bungeni!Aprili, 2010 Mheshimiwa Spika, Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa kunipa nafasi ya kushiriki katika kuchangia Muswada huu kama jinsi mwenyewe ulivyoita kwamba ni Muswada wa kihistoria kwa sababu...
  8. H

    Zitto Kabwe azindua Kampeni za Udiwani Kijichi hii leo

    Hotuba ya KC Zitto Kabwe - Kijichi HOTUBA YA ZITTO KABWE,KATIKA KATA YA KIJICHI JIJINI DAR Ndugu Watanzania Ndugu Wanatemeke Ndugu Wanakijichi HERI YA MWAKA MPYA 2017 Namwomba Mungu, muweza wa yote atupe baraka tele kwenye mwaka huu mpya na kutupunguzia mitihani ya mwaka uliomalizika...
  9. H

    Majibu kwa Mtatiro juu ya hoja yake kuwa ACT ndio kikwazo cha ushindi wa UKAWA

    MAJIBU KWA MTATIRO MCHAMBUZI ALIYEJAA MAHABA HADI ANASHINDWA KUTOA FACT NA KUTUTOLEA VITUKO HADI WATOTO WANAULIZA YUPO DARASA LA NGAPI? Hoja hii hapa ya Kaka yangu Mtatiro ndio inayojibiwa, nimechukua kipande kidogo tu alichoishambulia ACT kuwa imekuwa kikwazo kwa ushindi wa UKAWA na...
  10. H

    Mama Ndalichako ukiufanyia kazi ushauri huu watanzania hatutakusahau

    USHAURI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KAMA INA DHAMIRA YA KWELI KUTAKA KUBORESHA ELIMU NA HATUA ZA KUCHUKUA ZA UBORESHAJI WA ELIMU: Ili kupanua fursa na kuboresha viwango vya elimu katika ngazi mbalimbali, Serikali inatakiwa kuchukua hatua zifuatazo: i)Kuwahimiza wazazi na walezi katika...
  11. H

    Vijana wa Act Wazalendo mmehitimisha vema

    HITIMISHO Ndugu waandishi waandishi wa habari, Tunaomba ushirikiano wenu na umma kwa ujumla ilikupambana na kuinua Elimu yetu na kuondoa kasoro mbali mbali katika Elimu na kuwadhibiti mawaziri na kukomesha kasumba yao ya kila waziri wa elimu anayekuja kuvuruga Elimu yetu aidha kwa makusudi au...
  12. H

    Hili ndio Kaburi la Elimu kwa Watoto wa Maskini

    KABURI LA ELIMU KWA WATOTO MASKINI KUPANDISHA viwango vya ufaulu bila uboreshaji wa elimu ni kuwazika watoto wa kimaskini ili waagane na elimu ili kesho waje kuwa wapambe na watumwa wa watoto wa viongozi wa sasa na wale wa matajiri. Kabla hamjasimamia mipango yenu, hebu nanyi waleteni watoto...
  13. H

    ACT-WAZALENDO wamsimamisha uanachama Mgombea Urais wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUSIMAMISHWA UANACHAMA NDUGU KHAMIS IDD LILA NA NDUGU ALI MAKAME ISSA Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - Wazalendo) katika kikao chake cha Kamati Maalum ya Zanzibar cha tarehe 19 Februari, 2016 kimepokea taarifa rasmi kuwa aliyekuwa mgombea wa...
  14. H

    Uteuzi wa Asha Migiro ni kushusha hadhi yake

    KUMTEUA DK MIGIRO BALOZI, MAGUFULI HUTUTANII KWELI? NA LUQMAN MALOTO NASUBIRI kauli kwamba uteuzi wa Dk. Asha-Rose Migiro kuwa balozi ilikuwa utani. Naingoja kwa hamu kubwa. Dk. Migiro awe balozi? Huyuhuyu mama yetu? Ni taarifa za kweli hizi? Mama na wewe umekubali? Dk. John Pombe Magufuli...
  15. H

    Elimu bure ni kuimarisha matabaka ndani ya Taifa letu.

    WARAKA WA ELIMU BURE UNAENDELEA KUIMARISHA MATABAKA NDANI YA TAIFA LETU. Wizara ya Elimu, Sayansi na Ufundi imetoa waraka wa elimu kuhusu elimu ya msingi bila malipo na kutoa orodha ya shule za msingi 11 za Serikali ambazo hazihusiki na utoaji wa elimu bure uliotangazwa na Rais John...
  16. H

    Uzinduzi wa kampeni ya ACT-Wazalendo Viwanja vya Zakheem, Mbagala

    #UzinduziWaKampeni za Mgombea Urais wa chama chama cha ACT Wazalendo utakaofanyika Jumapili, tarehe 30, Agosti 2015. Eneo: Viwanja vya Zakheem Mbagala Muda: Kuanzia saa 8: 00 Mchana
  17. H

    ACT-Wazalendo na ujumbe kwa wafanyabiashara

    UJUMBE KWA WAFANYABIASHARA. Kama wafanyabiashara tunafanya kazi kwa nguvu na tunapambana katika kazi zetu kutengeneza mustakabali wetu na taifa pia. Kutoka wamiliki kwenda kwa mameneja wenye mitaji mikubwa, kutoka kwa wachuuzi katika mitaa ya Arusha mpaka mashirika makubwa ya Dar es Salaam...
  18. H

    Ujumbe kwa wanasiasa

    Ujumbe kwa Wanasiasa Tunayo heshima kubwa katika nchi, kwa ukarimu na uzalendo komavu unaotuunganisha sisi sote ndio maana tumeitikia mwitikio wa kuihudumia nchi. Tunaamini kabisa katika kuihudumia nchi yetu. Tunaendeshwa na mtazamo wa nchi bora na kizazi endelevu zaidi Tanzania. Hatuogopi...
  19. H

    Viongozi wa ACT Wazalendo wapata mwaliko Ujerumani

    Viongozi wa ACT Wazalendo safarini Ujerumani kwa mwaliko wa chama cha Die Linke Mwenyekiti wa chama cha ACT - Wazalendo mama Anna Mghwira akiongozana na katibu mkuu Ndugu samson mwigamba na katibu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ndugu Venance Msebo leo tarehe 15 julai 2015 wameanza...
  20. H

    Haki ya kujiunga na ACTwazalendo kwa mujibu wa Katiba ya Act

    UANACHAMA 8. Uanachama wa ACT utakuwa wazi kwa raia wote (1) Uanachama wa ACT utakuwa wazi kwa raia wote wenye umri wa kupiga kura bila kubagua jinsia, kabila, dini, au hali yoyote. Kila raia atakayekuwa ameandikishwa kuwa mwanachama wa ACT atapewa kadi ya uanachama itakayoonyesha pamoja na...
Back
Top Bottom