Search results

  1. K

    Mhe. Zitto Kabwe katika picha akiwa Colombo, Sri Lanka

    sasa huo mkoba si ni sehemu ya mavazi ya mheshimiwa spika? sasa anamshikia ili iweje? sasa kihele hele chake kimemfanya aharibu hizo picha!
  2. K

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Mi nashindwa kuelewa IGP anasubiri nini kujiuzulu? asichukulie maslahi yake binafsi akaacha ya umma! kujiuzulu ni SIFA.
  3. K

    Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

    Mimi sioni kama kwenda na mheshimiwa Rais kama ni tatizo,ila kwa nini hiyo fursa ya kuongozana na mkubwa apewe zitto peke yake kila time kwa upande wa CDM?!!!!!!!!!! Na zitto kihistoria "alishajinyea" baada ya kuwapinga wenzake hadharani wakipigania upatikanaji wa katiba mpya. Zitto ni mmoja wa...
  4. K

    Kumbe mh Zitto nae yumo...

    Hivi hapo nae anacheza? Mbona kimwonekano kama hachezi ila kasimama
  5. K

    20 Poorest Countries In The World 2012

    kweli hapo umefunika
  6. K

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Yule mzungu ni kama mfa maji,haishi kutapatapa. Kwani wao APR kwanini walishindwa kutumia fursa ya red card waliyopata Yanga wakashinda?
Back
Top Bottom