Search results

  1. G

    swali

    Je sheria ya ndoa inasemaje kuhusu mwanaume aliyetelekezwa na kukimbiwa na mke wake baada ya mwaume kupata ajali iliyo sababisha kuwa mremavu na kuwa tegemezi kwa mkewe je mwaume anayo haki ya kufungua kesi madai dhidi ya mke wake na kudai fidia au matunzo kwa sababu ndie mtu anaye mtegemea kwa...
  2. G

    kuna ukweli ndani ya hili penzi?

    ukweli upo maana penzi halichagui masikini wala tajiri ni popote pale moyo wa mtu unapoangukia, mpe ushirikiano kama na wewe unampenda.
  3. G

    Breaking news: papic abwaga manyanga yanga

    Tatizo la yanga si papic tatizo ni wachezaji ndio wamezeeka hadi wameamua kuwa mabondia
  4. G

    Kazi ya asali ni nin?

    do hata mimi sijui kama asli nayo ina kazi kwenye mapenzi kwa kweli kwa hili mi pia nahitaji darasa kutoka kwenu.
Back
Top Bottom