Search results

  1. K

    Sahihi 75 au G75, Je tuwaenzi vipi hawa WAZALENDO WA LEO

    kimsingi wametekeleza wajibu wao km wawakilishi wa wananchi so waungane pia kujibu hoja bunge lijalo wasimuachie zito pekee.
  2. K

    Francis Miti: Polisi kuua raia ni ajali kama basi lilivyoua wanataarabu!

    Nimeshituka sana na hii thrad nilichojifunza hapa hawa viongozi wangeuawa na watoto wao au wake zao ndo wange funza
  3. K

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Mwanajamii nadhani umeshajicommit kuwa majority-black ndo wanachukua nafasi za juu "Africa for Africans"(kwame nkrumah) hii ina kwenda mbali kuwa weusi ndio wana tambulisha uafrica so hao waarabu,wahindi, wazungu wachina na wengine...... kauli hapo kwenye quote inawasuta ndio maana wako...
  4. K

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Asante kwa kuweka wazi sign ambazo watu wengi kwnyjf walikuwa wakizitumia paspo kujua but cha msingi nijkum la kila mtu kuamua awe side ipi shika imani uliyonayo we kama ni non-mason sio issue hata km ukitumia symbol zao.
  5. K

    Dina marios na harufu ya uke....live clouds fm

    Harufu mbaya ni mbaya tu haipendeki ndio maana ikaitwa harufu mbaya ndio maana mtu hufunga pua,kwa yeyote anaye pendezwa na harufumbaya basi anamatatizo ya kiafya vilevile hii inatokana na uvivu wa kufikiri na kukosa ubunifu katika uandaaji wa vipindi.
  6. K

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Ushahidi wa madai yako haujitosherezi endelea kufuatilia kwa undani then uiweke hapa mkuu ummma ufaham
  7. K

    Mapenzi yamenipoteza!

    Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano nilipoenda a-level nikakuta ameabort mimba ya mtu mwingine akanichiti nami nikashit.nilipata wa pili...
Back
Top Bottom