Search results

  1. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Namsikilizia hapa naona nguvu zote alimalizia kwa napoli
  2. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa hawa psg hata kagoli kamoja ka kuniokolea mkeka wangu dah
  3. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salzburg anachana na kiodd cha 1.13
  4. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na amefungwa kabisa nilikuwaga namuaminia ila ataungana na wengine niliowa blacklist
  5. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na Zagreb naona anataka kuharibu na leo tena
  6. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa nili uninstall app ya meridian jana cha ajabu leo nimebet tena kwa sport bet na kumpa pyramid ashinde as record inambeba nae kashindwa hata double chance itabidi nirudi sport pesa nilikoanziaga kubet
  7. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeyaaga mashindano asee vipigo vimenizidia najipa wiki mbili afya yangu ya akili ni ya muhimu sana betting itanitia uchizi
  8. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nahitaji goli moja tuu sijui kama litapatikana
  9. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah United kala umeme tutatoboa kweli hapa
  10. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kafanyaje tena mkuu anaongoza 3
  11. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo ni machozi tu hapa namsubiri psg apate goli moja nilale
  12. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatimae dah huu mkeka ukitoboa leo sijui maana kila mechi presha juu
  13. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani city wakukosa hata goli moja hadi saa hii
  14. Z

  15. Z

    Mbwa kasoro mkia anazidi kuifanya siku kuwa mbaya zaidi
  16. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya tena bayern kawekwa huko leo ni leo
Back
Top Bottom