Search results

  1. F

    Waziri Bashe, bei elekezi ya Sukari inaanza kutumika lini?

    Wafanyabiashara wanapata changamoto kwenye hili, Kwa sababu unakuta yeye amenunua sugari Kwa bei kabla ya tamko ambayo ni kubwa ,kisha uwaambie wauze Kwa bei baada ya maelekezo ya serikali ambayo ni ya bei chini ,Hali ambayo inaleta hasara kwao .Hii aswaaswa inawakumba wafanyabiashara wadogo.
Back
Top Bottom