Search results

  1. B

    Kuitwa Kazini NSSF

    Tutakoma nini?
  2. B

    Msaada kwa waliowahi kufanya usaili SUMATRA

    Wakuu SUMATRA vp mwenye update ya oral naona kimya?
  3. B

    Kuitwa kwenye usaili COASCO

    Ilikuaje mkuu inaonekana mlikua wachache sana,mi nilishindwa hudhuria!
  4. B

    Kuitwa kwenye usaili COASCO

    Kaka naomba kujuzwa,hiyo tarehe 24 na 25 ni mwezi huu kweli,kama ni hivyo mbona muda mfupi wametoa mi wamenipigia jana.
  5. B

    Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Niliapply nataka kujua!
  6. B

    Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Mkuu ni kwamba ningependa kufahamu mazingira ya kazi ktk hii kampuni yakoje na ikiwezekana kujua kama inawajali wafanyakazi wake ama lah.Si unajua mambo ya private ni shiida.Pia wamiliki ni wabongo ama raia wa kigeni!
  7. B

    Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Tafadhali anaye ifahamu hii kampuni anipe details zake,wako vzur ama niaje!
  8. B

    Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

    Aisee hatari,sijilaumu kwa kuto apply isitoshe ingenibidi kusafiri kutoka mkoani,kwa nyomi hilo noma!
  9. B

    Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Kwenye tangazo lao wamehitaji na passport, sasa sijui ni ile sehemu ya picture inayokua kwenye ile form yao,though mimi sijaiweka picture bado.
  10. B

    Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Shukrani mkuu,vp jinsi ya kutuma passport size.
  11. B

    Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Wakuu msaada jinsi ya kutuma passport size!Hiv hawa jamaa si walitoa nafasi na tuliapply kupitia website yao TANAPA ama ni wengine?
  12. B

    LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

    Tafadhali Chief kua serious watu mia 3 nafasi ngapi na interview 4 watakua wanatafuta nini?Utafikiri NEC wanatafuta mgombea!!
  13. B

    LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

    Tafadhari naomba kujuzwa hivi hawa jamaa walishaita kwenye Saccoss yao Dodoma post ya accounts.
  14. B

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pia ningeomba kujua vinasababishwa na nini,visipo tibiwa madhara yake nini?
  15. B

    Msaada kwa waliowahi kufanya usaili SUMATRA

    Ni kweli mkuu nyomi litakua la kutosha sababu ya location yenyewe tu.Pia kuna kitu kinanitatiza,wamenitumia email nihudhurie kwa post ya Accountant assistant II wakati tangazo alilonikumbusha hapo KAKA YAKO KAPITA lina Accountant II na Accounts Assistant,sielewi.
  16. B

    Msaada kwa waliowahi kufanya usaili SUMATRA

    Jamani nimeitwa kwa interview Ijumaa hii inayokuja pale diomond jubilee hall, kwa post ya accountant assistant. Kwa aliye wahi hudhuria anipe dondoo please. Pia sikumbuki hata ni lini nili-apply ila nahisi mwaka umekatika, ni kitambo sana nilijua wameshanimwaga hivyo kama kuna mtu pia kaitwa...
  17. B

    Kuitwa Kazini NSSF

    Supu anazingua kinoma
Back
Top Bottom