Search results

  1. Siri Sirini

    666-nyayo za kuzimü

    Bei gani? Maana hadithi inavyoendelea inazidi kusisimua
  2. Siri Sirini

    Je ulishawahi kuwa na hasira za kiasi gani!?na ulifanya kitendo gani

    Sasa kwa nn ulipiga makelele wakati umekunywa mwenyewe? Hyo ilitakiwa iwe kimya kimya
  3. Siri Sirini

    Leo siku ya tatu hakuna Umeme kuanzia kwa Aziz Ali mpaka Mbagala yote

    Heri yangu mie na familia yangu tuliohama huko kijichi, maana ilikuwa kero, kama huna generator au hujachimba kicma, ni majanga, kwa taabu niliyopata wakati naishi huko, sina ham ya kurudi, poleni sana
  4. Siri Sirini

    Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    Itakua ni mazingaombwe, mana alisema akishika noti ya elfu 10, inabadilika 500 mkononi mwake, yani anaiona mpaka inakuwa 500 kutoka 10000, na ni pesa halali
  5. Siri Sirini

    Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    Hata haijulikani ni nn, ila mzee alisema itakuwa ni ile mifuko yao, mana walimpa mfuko wa karatac akaweka zile pesa, na niliziona kwa macho yangu, ni 500 mpya kabisa na sio feki, nikamwambia ucchanganye na nyingine zisije zikabadilika zote, ila cha kushukuru ni alivyowapata, sasa sijajua hao...
  6. Siri Sirini

    Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    Hii ilimtokea mme wangu, ye alienda kubadili dola 1000, akakutana na mzee akamwambia, hapo nyuma kuna Bureau de wanabadili kwa hela nzuri, kuna acyetaka hela nyingi? Mzee kaenda, kwenda wakaenda jengo lina ghorofa, wakaenda floor ya 3, wakakuta wamefunga, akaja mkaka mmoja akajifanya ni...
  7. Siri Sirini

    TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

    Pole sana mpendwa
  8. Siri Sirini

    Bongo movies...

    Hhahahaha, kama Steve shabiki wa Yanga, mana hata kulia hawezi, tayari yupo bongo movie, kaazi kweli kweli.
  9. Siri Sirini

    Ugonjwa wa Surua (Measles): Chanzo, maambukizi, dalili, athari, matibabu na kinga

    Habari wana jf, naombeni msaada wenu, nina mtoto wa miaka 4, alitoka vipele mwili mzima, kumpeleka hospital wakasema ni surua, amepewa dawa na amepona, sasa kaka yake wa miaka 6 naye ameanza kutoka vipele kama vya mwenzie, sasa nnachowauliza, je, watoto wa umri huo wanaweza kupata ugonjwa huo...
  10. Siri Sirini

    TANZIA: Rock City Wing

    Pole sana ram, poleni wafiwa
  11. Siri Sirini

    Kwa nini watoto wa kike wanaongoza kuwasaidia wazazi wao tofauti na watoto wa kiume?

    Hiyo ni kweli kabisa, mimi bibi yangu analia sana, maana mama yetu ndio alikuwa msaada mkubwa kwake, sasa hanaye tena, R I.P, hapa amebakia mjomba, mana walizaliwa wawili tu, lkn kumtunza mam yake ni shuhuli, haoni aibu kwa kuwa yupo peke yake, dada yake amemtoka, baba yake amemtoka, amebaki yy...
  12. Siri Sirini

    Ni mwaka sasa bila Baba yetu mpenzi! (special for Madame B)

    Hatutoacha kukukumbuka baba, upumzike kwa amani
  13. Siri Sirini

    Thank's God, to have a Baby Girl..!!

    Hongera sana mkuu Sizinga,M/nyezi Mungu amjalie afya kichanga, pia hongera na pole Mrs.Sizinga
  14. Siri Sirini

    Faida Za Kuwa Mama Wa Nyumbani

    Mada nzuri kwa sisi wamama wa nyumbani mana nami ni mmoja wapo, watoto ukikaa nao nyumbani raha sana kwa jinc wanavyokuzoea, hata wakirudi kutoka shule, wa kwanza kuuliziwa ni mama, baba mida yake ni usiku, ikifika mida ya kwenda kulala, kama baba yao hajarudi ndio wanaanza kumuulizia, kama...
  15. Siri Sirini

    Get well soon Madame B

    Madam bado anaumwa, na nimeambiwa ucku huu kuwa amerudishwa tena hospital, wamemwekea dripu, hali yake c nzuri, tumwombeeni apone
  16. Siri Sirini

    Get well soon Madame B

    Aaamen
  17. Siri Sirini

    Get well soon Madame B

    Aaaamen, kwa niaba yake
  18. Siri Sirini

    Get well soon Madame B

    Ni kinondoni b, ila ameruhucwa, asa hv yupo nyumbani
Back
Top Bottom