Search results

  1. Mauntana

    Packaging

    Habari wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nifahamisha wapi naweza kununua chupa/kopo kuanzia mils 250. Natanguliza shukrani
  2. Mauntana

    Nissan wingroad for sale 4.8 maongezi yapo

    Nissan wingroad year 2002. Cc 1760. Good condition vibali vyote vimelipiwa. B registered 4.8 m
  3. Mauntana

    Frem ya biashara Tegeta Nyuki

    Frem inapangishwa no dalali unaweza lipia miezi mitano kwanza. Ipo mtaa mzuri Tegeta Nyuki na ina parking yakutosha inafaa kwa biashara yoyote. Kuiona piga 0716070792. Bei yake laki na 50. (150000)
  4. Mauntana

    Nissan wingroad for sale

    Nissan Wingroad inauzwa. Ya mwaka 2002. Rangi nyekundu cc 1760. Inavibali vyote. Ipo katika hali nzuri. Milion 5.5 piga 0716070792
  5. Mauntana

    Gari inakodishwa kwa matumizi ya ndani ya dar

    Gari aina ya Nissan Wingroad inakodishwa. Kwa siku ni elfu 60 pamoja na dereva Mafuta ni yako. Piga 0766333023 maelewano yapo.
  6. Mauntana

    Jaribuni biashara hii kwa mtaji wa 160000 tu!

    Nairobi unanunua kwa ksh 200 sawa na 4500 sasa ni faida zaidi utapata kama elfu 16000 faida uende nae kabisa
  7. Mauntana

    Wanasiasa tupieni macho recruitment agency.

    Ukosefu wa ajira umekithiri nchini. Na pale ajira inapopatikana basi inakuwa ni majanga zaidi. Najiuliza kama hawa EROLINK ni wakina nani wanalipwa mishahara ya wafanyakazi wao na kuwapa only 10% wafanyakazi na wanachukua asilimia 90 ya mshahara. Jamani ubepari umevuka mipaka Tanzania. Kama...
  8. Mauntana

    Nyumba inapangishwa kinondoni opposite ada estate

    Nyumba imeshachukuliwa. Ahsanteni
  9. Mauntana

    Nyumba inapangishwa kinondoni opposite ada estate

    Nyumba ya vyumba viwili,Kimoja master Sebule jiko na choo cha nje. Ipo ndani ya Geti Shiling laki mbili na hamsini 2500000. Unalipa kwa miezi 9 Piga 0682699999. Wahi kabla haijaingia mikononi mwa Dalali.
  10. Mauntana

    Natafuta nyumba ya vyumba viwili kwa tsh 4000000

    Natafuta Nyumba maeneo ya Kinondoni, Msasani, Kariakoo, Muhimbili na Postal. Vyumba viwili vya kulala na Jiko zuri.Ikiwa Master Poa ila isipokuwa nayo pia Haina neno. Bei yangu ni Laki nne. MALIPO KILA MWEZI.
  11. Mauntana

    Ahsanteni kwa kazi

    Wanajamvi mimi ni mmoja wa watu niliyeamini kazi ni za kujuana tu. Napenda kuwashukuru watu wema wanaoweka matangazo humu. Siku ikifika imefika nimepata kazi nzuri sana kupitia JamiiForum. Mungu ibariki JamiiForum. Ambao bado msikate tamaa omba tu hata ukiomba kazi kumi kwa siku.Nikisikia...
  12. Mauntana

    Dr. Kigwala amtaka Mbatia kujiuzuru ubunge

    Dr Maandazi Katumia sana miemko kuongea kuliko kutumia akili nimemsikiliza sijahadithiwa.
  13. Mauntana

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    eti fastjet hahahaa umenipa raha
  14. Mauntana

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    kiukweli cdm haitendewi haki kila wanachoongea kinachukuliwa negative.....Bora mmewaonyesha kuwa mmekinaiwa na ubazazi wao
  15. Mauntana

    Utapeli kupitia centre for environment protection.

    Jamani nimepata sms hiyo hasubuhi ya leo.Hivi sasa inakuaje inawezekana hiyo kazi kaitangaza Rachel mwenyewe sababu kapataje cv zetu????mi nlimrushia 10 ikagoma nkampigia hakupokea...
  16. Mauntana

    CHADEMA, Tunaomba Bango hili Kila wilaya...

    Inauma jamani
  17. Mauntana

    Kuzaa mtoto mmoja

    Hongera
  18. Mauntana

    PICHA: Vurugu Zanzibar: Mabaki Ya Kanisa Lililochomwa Moto kama ingekuwa Msikiti ingekuwaje?

    Wakristo sio woga bali kitendo tu chakuzaliwa mkristo ni sawa na kumaliza chuo kikuu ni akili ndio inatusaidia tuna uwezo wa kufikiri
  19. Mauntana

    Joshua Nassari MB.

    Tusi akitukana Chadema akitukana CCM kaimba R&B
Back
Top Bottom