Search results

  1. TZ biashara

    Kauli ya Waziri Lukuvi: Jumuiya ya Waislaam yatoa tamko kali

    Tunaitamani KATIBA itakayoleta matumaini kwa wananchi wote itakayojenga mahaba kwa kila mwananchi.Lakini hali inavokwenda ni kinyume chake na hii inatokana na kukosa hoja za kitashi mpaka kunamshawishi mtu aliesoma na kuaminiwa kupewa Uongozi kuongea ndilo silo.Waisilmu na Waarabu inauhusiano...
  2. TZ biashara

    Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Unapokosa Hoja wakati mwengine kunamfanya mtu kufitinisha badala ya kutafuta suluhisho la ki-hekma
  3. TZ biashara

    Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Ametoa kutoka moyoni mwake!!!!!!!!!! Tunapoelekea ni kubaya zaidi...ngoja tusubiri
  4. TZ biashara

    JK Fukuza hawa ustaafu na sifa kama Mwinyi

    Tatizo Watanzania tumezoeshwa kuishi kimaslahi tokea utotoni mpaka uzeeni sasa matatizo kama haya mazito yanakuwa magumu kuyachukuliya katika haki.Na muda unazidi kusonga mbele...........................
  5. TZ biashara

    1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

    JAMANI NAOMBA MUNISAMEHE KWASABABU HUU MTANDAO UNANISUMBUA SIWEZI KUTUMA MAJIBU YOYOTE NA HII NAITUMA i HOPE ITAFIKA NA SIELEWI KWANINI.HAPO KTK HILO TANGAZO NIMEWAEKEENI NAMBA ZA SIMU ILI MUMPIGIE KWAKUWA YEYE NDIE MWENYE GARI.NA NIMEWASILIANA NAE LEO KUMWAMBIA HIZI OFFER ZENU NA KANIAMBIA...
  6. TZ biashara

    1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

    jamani kwanza nawaomba samahani kwa kutoweka na hii imesababishwa na kukosa internet yani iligoma.sasa hata hivo nadhani niliwawekea namba zake hapo juu ili mjadiliane kuhusu bei kama mlisoma vizuri.ningewaomba mumpigie simu na nahisi anaweza kuchukua 5 milion na kama mtafanya fasta itakuwa...
  7. TZ biashara

    1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

    Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa ipo Dar na bei ni Tshs 5.5 milion.Mtanisamehe kwakuwa gari hii sio yangu ila namsaidia ndugu yangu kumtangazia kwa hiyo maelezo hajanipa mengi ila mtampata katika namba hizi kwa yule mwenye mahitaji nayo.0713182182 au 0684000760 atawapeni maelezo mengi zaidi na...
  8. TZ biashara

    SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

    Kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu ni kwasababu ya pirika nyingi za kutafuta maisha.Ipo mkuranga .....Kiparan'ganda B.
  9. TZ biashara

    SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

    SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata...
  10. TZ biashara

    SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

    SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata...
  11. TZ biashara

    JIKO KUBWA LA BIASHARA (used) FOR SALE

    Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni madhubuti sana na sio feki unanunua na kukitumia kwa kuzalisha biashara yako kwa muda mrefu bila ya...
  12. TZ biashara

    Saudi Arabia yatoa msaada MOI

    Watu kama nyinyi ndio mnaongoza kwa kuiangusha nchi kwa ubaguzi.Na pengine huna mchango wowote kwa Taifa.Tunawashukuru sana kwa msaada wao na mwenyezi mungu azidi kuwapa moyo wa huruma.
  13. TZ biashara

    Saudi Arabia yatoa msaada MOI

    Huwaga hatuna tabia ya kujitegemea kwahiyo tutaendelea kutegemea misaada mpaka dunia ifike mwisho
  14. TZ biashara

    Dar: Wanne mbaroni kwa Uchochezi wa Kidini!

    Waje na humu JF wapo wengi sana
  15. TZ biashara

    Why Is Africa Still Poor?

    Ni ugonjwa wa ubinafsi tu ukipona basi utajiri utauona kwasababu kiuhalisia Africa ni tajiri kuliko hata bara la ulaya isipokuwa roho zetu za kimasikini na choyo ndio ukasababisha kaugonjwa ka "corruption"
  16. TZ biashara

    Kikwete, Tunahitaji FBI hapa!

    Muuaji auliwe,anaemkata mkono nae akatwe,anaekata mguu nae akatwe.Waganga (wachawi,washirikina,wapiga ramli)wote wakamatwe na ipigwe marufuku kwa yeyote mwengine na tuishi kwa kumtegemea mungu muumba.Maana huu ni upumbavu na uonevu mkubwa wanaopata hawa watu.Hao waganga ama ndio wachawi tuwaite...
  17. TZ biashara

    Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

    Kwani mwarabu bado anatawala mpaka sasa??? Sasa waliotawaliwa na wazungu mmeunda au kutengeneza nini mpaka sasa maana angalau hata hao waarabu wanajaribu kuwekeza kwa viwanda kama bakhesa? Sijaona ukweli wowote katika mada hii isipokuwa upotoshaji wa kibaguzi ambao hautaisaidia taifa kokote...
  18. TZ biashara

    Wanyama wasitugombanishe...

    Sipo tayari na vita na hata nikichochea vita nitakuwa siwatendei haki watanzania wote kwa ujumla kwani sina ubaguzi wa rangi wala dini kwasababu sivo nilivofunzwa ktk dini wala wazazi wangu.Na siwezi nikachochea vita wakati mimi mwenyewe sipo ndani ya nchi hilo pia litakuwa ni kosa kubwa sana...
  19. TZ biashara

    Wanyama wasitugombanishe...

    Watu kama nyinyi ndio vishawishi wa kuvuuga amani katika nchi kwa kuona kwa jicho moja na sio kutumia macho yote mawili.Kama ulikuwa huna nasaha ya kupendeza na yenye amani zaidi bora ungenyamaza tu.Ni vizuri ujenge hoja yenye kulenga mada ambayo imeletwa kwa ajili ya amani na sio uchochezi...
Back
Top Bottom