Search results

  1. SONGOKA

    Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    njoo inbox, then mwaga hoja zote tutayajenga huko
  2. SONGOKA

    Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    unataka kuniteka mkuu
  3. SONGOKA

    Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me Martin na Malcom: Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa, Martin...
  4. SONGOKA

    Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    hiyo miradi haiwezi kuzinduliwa bila mwenge??
  5. SONGOKA

    Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Uwanja wa Mkapa una sanamu la mkapa? uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere una sanamu la Mw Nyerere?
  6. SONGOKA

    Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mh Rais, amesema mwenge uliowekwa katika daraja la Tanzanite uondolewe, na iwekwe alama ya Tanzanite, Ukiachana na ukweli kwamba Mh Rais akiwa Makamu wa Rais aliona michoro ya daraja hili kabla halijaanza kujengwa, na mwenge ulikuwepo katika michoro, hivyo angeweza kutoa maoni yake na kuzuia...
  7. SONGOKA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    arguing with you is another loss to my time resources , kama unahisi taarifa hii haina source toa taarifa kwa moderators waondoe UZI..........:D:p:D:p
  8. SONGOKA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    uvivu wako wa kung'amua mambo usitupe kazi ya ziada ya kukusaidia fanya kama hakuna hicho kitu then potezea tu mkuu, sababu hata ukielewa ukweli huna uelewa wa kutafsiri ukweli huo katika uchumi wa TZ zaidi ya kushabikia
  9. SONGOKA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mkuu kwa kuwa sijui KOLAZ ni nini nimepokea sasa nielezee kwanini hilo ni jambo zuri kabisa???
  10. SONGOKA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Rejea hotuba ya mama Dakika ya 28 sekunde ya 30, utajua nini nazumgumzia
  11. SONGOKA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ndio hatukatai mikopo lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani?? tunakopa kulipa mkopo UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
  12. SONGOKA

    Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

    kama unawafahamu kwa nini usianzishe UZI wako uwaseme pia mkuu
  13. SONGOKA

    Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

    sasa kama ni ya kitoto mbaona unaijadili, tena umepost mara mbili au zaidi...ha ha
  14. SONGOKA

    Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

    Kuna utaratibu wa viongozi kutangaza mali zao na utaratibu huo haujumuishi kiongozi kutangaza kuwa HANA MATANGAZO KWENYE KITUO CHAKE, au HANA UWEZO WA KULIPA MISHAHARA Hizi statement mbili zinammanisha yafuatayo 1. Kiongozi anaomba wafanyabiashara na umma kwa ujumla wakatangaze katika chombo...
  15. SONGOKA

    Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

    mkuu mbona unajaziba sana? kunywa maji, washa TV, tune SU Tv then jiliwaze kidogo
Back
Top Bottom