Search results

  1. M

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Hapo ungemeambia nae awe anahjsafisha vizuri,ndo maana hukua na mzuka nae,,hako kambinu kumwambia awe anajisafisha vizurinilikatumia kakaleta matokeo ilimuuma,ila kiukwel hakua mchafu
  2. M

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Go straight ni technology gani ilitumika kwa mawasiliano ground station na rocket?kuhusu mafuta ni sawa lkn kuna zinazotumia nguvu ya nuclear right?
  3. M

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    So ground station walitumia computer programs toka kipindi hicho?na kuna rocket ambayo imerushwa miaka zaidi ya arobaini na bado inasafiri?
  4. M

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Si kweli ngoja aje kujibu,miaka hiyo hatukua na wigo mpana wa computer,swali langu liko hapo,mawasiliano ya hicho chombo na dunia yalifanyika vp na yanaendelea kwa namna gani?
  5. M

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Rocket zilizorushwa miaka ya 60-70 na ambazo bado zinasafiri anga za mbali,zinatumia technology gani kuwa controlled ama mmazimonitor vp?
  6. M

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Pole sana mkuu,mtumaini Mwenyezi Mungu
  7. M

    The Place Bar Moshono mnatuharibia watoto kwa muziki usiku kucha kila siku

    Acha kuharibu biashara za watu,unaacha kusema mapapa kama club d na Mopao unaleta mdomo hapa,Ticha endelea kutupa buruda,alafu wew utakua kapub ka jirani.
  8. M

    Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Ili mpeleke uswahili kwenye family za watu,we endelea na pigo za miso misondo.
  9. M

    Pesa kufuru za Victor Jango ni nani huyu?

    Acha makasiriko,kesha wekeza vya kutosha,bado zipo zaidi,pesa zake,nafasi yake,mwaka wa 15 matumizi ni yale yale..acha hasira.
  10. M

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Umetupiga sound,pale palikua Kauma...na joshi la mifugo
  11. M

    Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Hawa ni balaa,maprofesa wengi waafrika wametoka ukerewe,sato ni hatarii...pia Tiss inaongozwa na wakerewe.
  12. M

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Usijfanye mjuaji na haujui 2000's inamaanisha kuanzia 2000-.....acha ujuaji na haujui.
  13. M

    Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

    Wewe unaishi jimboni?kitongojini?watu wa mikoa ndo watu gani?yani kifupi unaujinga mwingi.
  14. M

    DOKEZO IGP tuokoe na wizi ulioibuka Arusha unatisha

    Sio kimandolu tu, Lemala, daraja mbili na Uzunguni bara bara ya blue stone, kwa week mbili mfululizo wameuawa watu watatu kwa kuchomwa visu na tatu mzuka,bara bara za uzunguni uporaji hufanyika mchana, Sijaona jitihada kuwadhibiti, Mbaya zaidi wameanza kugusa wageni.
  15. M

    Mfahamu jangili Chapuga aliyeitikisa Serikali miaka ya 2005- 2012

    Mwana alikua analenga meter 200 kwa kutumia" PPSh41 Sub machine gun"mtu ana dead.
  16. M

    Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Juma chid hakufungwa alikamatwa akachezea kipigo na wazee wa ncha kali,alifia sekouture.
Back
Top Bottom