Search results

  1. S

    JK Baada ya Mawaziri mulika Manispaa ya Ilala

    Kiasi fulani sasa nimeamini JK akiamua anaweza! Ombi langu kwa JK aonyeshe mfano kwa halmashauri ya manispaa ya Ilala kuna mada iliisha letwa humu JF juu ya ubadhilifu unao fanywa na meya wa manispaa hiyo kwanza kabisa lawama hizo ziuendee uongozi wa Manispaa hiyo mkurugenzi na timu yake niwatu...
  2. S

    LINI JK ATATEUA WAKUU wa WILAYA?

    Bado sielewi kazi ya Mkuu wa wilaya.Nadhani nayeye amegundua hilo, labda sanasana angekuwa na mpango wa kugombea tena mwaka 2015.
  3. S

    mwanaume asiyetaka kuoa

    Una mikakati gani ya kuzuia kabisa talaka? na malezi ya hao walioachwa na marehemu wa hiyo miaka hamsini?
  4. S

    Madaktari Sawa Watatoka Cuba, India na China. Manesi Je?

    Hapa kuna kitu nimekumbuka,Umeme wa Dharura Former PM sasa Madaktari wa Dharura!, Haya yangu macho!
  5. S

    Tamisemi imeitosa manispaa ya ilala

    Na cha kushangaza zaidi Meya anapo jibu hoja nyingi humu jamvini huwa anajibu mambo ambayo hayamuhusu(mambo ambayo anatakiwa ajibu mkurugenzi) mfano sakata alilolianzisha kwa Mhesimiwa Magufuri alidai mabango yakiondolewa mapato hayatapatikana ,mara ooh! kuna watu tutawapeleka mahakamani ,hivi...
  6. S

    Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe!

    Hapo uko sahihi mkuu lakini na hili la uholela wa Jiji ni la muhimu sana makampuni yote makubwa yamehamishia ofisi zao Kinondoni ambako angalau sehemu nyingi zinafikika City Centre wanakimbia foleni na misongamano isiyo maana wamebaki machinga tu na wenye ofisi za mfukoni kama muheshimiwa...
  7. S

    Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe!

    Sisi wapiga kura wake tumeisha listukia kitambo hivyo tunajipanga jinsi ya kumpiga chini huyu Zumbu kuku,ofosi ya kata ndiyo ameikimbia kabisa amepiga kambi mjini ili afanye madili yake tulimpigia kura ili asaidie kuboresha maendeleo ya jimbo kata yetu lakini amekimbia ameamishia ofisi yake...
  8. S

    Tamisemi imeitosa manispaa ya ilala

    Kwanza nawapa pole sana watumishi wote wa Manispaa ya Ilala kwakuingiliwa na hawa wanao jiita waheshimiwa maana kama ni ulafi basi ndiyo wamekubuhu maana wanashindana kuchukua miradi na sasa wana shindana kuchukua vyanzo vya mapato kwa kisingizio cha ubinafsishaji. watumishi ambao ndiyo...
  9. S

    Varangati manispaa ilala. Walimu wasema uovu wa serikali ya ccm sasa basi

    Thubutuuu! manispaa ya Ilala ukijulikana tu we ni wa chama tofauti na CCM basi lazima wakutafutie zengwe utaamishwa tu! madiwani wenyewe wanao jidai ndiyo wenye manispaa yao wote ni chama tawala hapo CCm haikwepi hiyo lawama!
Back
Top Bottom