Jamani juzi nilisema huu mtandao sasa unakusanya na kutumia wale wanofikiria kutumia masaburi, kwa Uzi huu imedhihirishwa unwell huu. Ewura hawana kitu kama hiyo na hata Tanesco hawajapeleka barua ewura maombi ya kitu Kama hicho. Kwa lifupi huu ni upumbavu mtupu nothing!
Hizi ni dalili kuwa aliyetuma huu uzi ni mhuni, hana shule ya kuchanganua mambo na mambo mengi kadha wa kadha. Kama EWURA inakula deal na wauza mafuta wasingekuwa wanagoma hadi kuwapeleka EWURA mahakamani na kushindwa kesi ya kutaka EWURA irudishe bei za mwaka 2008.
Bei ya mafuta Tanzania...
Tujadili hoja kwa uelewa kama mtandao huu ulivyokuwa unsheshimika huko nyuma. Hivi inaingia akilini watu hao hao waishitaki ewura kwa kupunguza bei ( soma magazeti ya jumatatu ) halafu wakae meza moja kuisaidia CCM? Tusitumie masaburi kufikiri kama aliyeketa Uzi huu. Bei ewura inatangaza kila...
Tujadili hoja kwa uelewa kama mtandao huu ulivyokuwa unsheshimika huko nyuma. Hivi inaingia akilini watu hao hao waishitaki ewura kwa kupunguza bei ( soma magazeti ya jumatatu ) halafu wakae meza moja kuisaidia CCM? Tusitumie masaburi kufikiri kama aliyeketa Uzi huu. Bei ewura inatangaza kila...
Mtandao huu umekuwa wa kipumbavu kama unaruhusu watu wanaofikiria kutumia masaburi waweke Uzi wa kutukana watu wanaosaidia nchi. Hizi bei hutolewa kila Jumatano ya kwanza ya mwezi. Mtu HUMU hata hajui anadai inatolewa kila wiki mbili. Mbili mchango ya CCM kama inatolewa kama Alivyodai...
Ewura haijawahi kuchangia wizara kupitisha bajeti masons report ya Kamati ya Bunge ipo wazi kabisa. Tukubaliane kuwa kunachangamoto kwenye huduma hizi. Kuhusu Tanesco, unwell wa gharama utachulikana mwezi huu wa nane pale aliyepewa kazi ya kuchanganua gharama halisi ya kuzalisha umeme atakapotoa...
Jamani mchangiaji wa kwanza ana hazira za bure. Kuwepo kwa ewura kumewaaidia sana kupunguza gharama za huduma! Zunguka central and East Africa halafu sema nani bei yao ya mafuta ni ndogo zaidi ya Tz. Hata umeme TZ ni cheap kilimo nchi zingine afrika
Mashariki. Juu ya maji Ubora tunapima muda...
WATANZANIA tuache kulalama, moja uwe na shule ya kweli katika tasisi hizi especially BoT na EWURA kwani vigezo vya kuingia katika post nyingi 90% lazima uwe na masters, pale EWURA mchemsha chai ni Form Six ambaye kwa sasa anasomea degree ya Sheria, kuna undugu hapo? Matatizo yetu tumekuwa...
Ndugu yetu kama hujafanya utafiti afali usiseme kwani, mfumo huh ulianzishwa NA ewura how comes Auhujumu? Pia issue ya kuchakachua Huko nyuma hamkusikia kwa kuwa hii term was introduced by EWURA amabye alia za masks 2006 NA ndoo maana Huko nyuma hukuwa unasikia
MANUFAA YALIYOPATIKANA KWA KUANZISHA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA
Manufaa ambayo yameanza kupatikana kutokana na mfumo ambayoyamethibitika katika kipindi cha miezi miwili ya uagizaji mafuta wa pamoja na:
1. Kupunguakwa Msongamano wa Meli Bandarini
Siku za ucheleweshaji wameli...
Ndugu yangu, unapotoa data huna haja ya kwenda CIA sasa hebu tukupe uone tunatumia lita ngapi kwa siku hapa nchini excluding transit fuel. Dieseli lita milioni tatu (3,000,000), Petroli lita laki nane na sabini na tano (875,000), Mafuta ya Taa lita laki sita na nusu (650,000). Inaonekana unajua...
JAMANI, na mimi nineona vyema kuwaelewesha wenzangu juu ya hii. Mosi historila ya Mfumo wa Uingizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Bulk Oil Procurement) unatokea kwenye Sheria ya Petroli ya Mwaka 2008, Kifungu cha 33 (1) na (2), inasema hakuna mtu yeyote anayeweza kuingiza mafuta hapa nchini ispokuwa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.