Search results

  1. Mussa Wangota

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Nimepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa! Poleni sana wafiwa, WanaCHADEMA pamoja na JF Members. Innallilah wainna ilayhi rajiuun.
  2. Mussa Wangota

    Hoja Binafsi ya Dkt. Hamisi Kigwangalla Kuhusu Kuongeza Ajira kwa Vijana na Kukuza Uchumi Tanzania!

    Kimsingi hoja hii ya Hamis haina tofauti na yale tunayosoma/tuliyosoma katika Economics, Commerce, Geography na hata history. Ninachoshukuru kutoka kwake ni kwamba amekaa na wenzake katika chama na kutafakari kwa namna ya theory. Kwetu vijana ni kama anatukumbusha sasa tutoke kwenye theory...
  3. Mussa Wangota

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Kama nilivyoahidi kutoa suruhisho ama mchango kwa wanaMara wenzangu. 1) Kukubali sasa kubadilika kitabia kwa maana kuacha kubaguana kikabila wala kutumia ukabila kama nyenzo ya kujitambulisha katika mambo yasiyo ya msingi (kujinufaisha binafsi). 2)Kuacha kutumiwa na Wanasiasa uchwara wenye...
  4. Mussa Wangota

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Habari wanajanvi, mimi ni mzaliwa wa Mara hapo Musoma Mjini, kata ya Mwigobero, mtaa wa kawawa.Shule ya msingi nimesoma Mwembeni miaka ya themanini mpaka tisini na baadae Mara secondary. Namshukuru mleta thread amejaribu kuelezea mambo muhimu sana na pengine kutukumbusha wengi wetu umuhimu wa...
  5. Mussa Wangota

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Mkuu Soma vizuri post yangu badala ya kudhani IQ ni ya kuzaliwa tu! (Whether or not IQ tests are an accurate measure of the intelligence is open to debate. It is difficult to define exactly what constitutes intelligence, it may be the case that IQ scores represent a very specific type of...
  6. Mussa Wangota

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Mkuu Tumbiri Kuzungumzia suala la Nassari kama Nassari hapa hasa kwenye personal character nitakuwa namkosea kwani siko deep to that extent perhaps you. Kwa kauli yako inamaana hata wale unaowaamini na kuwashabikia katika siasa (wabunge) hawana maana kwako kwani pia IV walizonazo hazitamaniki...
  7. Mussa Wangota

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Nilipo bold "ni mapema mno ku generalize kuwa watu wengi hawaipendi CCM huku unatambua ndio hao hao waliopeleka wawakilishi (wabunge) kupitia CCM kwa zaidi ya asilimia 80%" labda uje na agenda hii 2015 kwa sasa no justification. Whether or not IQ tests are an accurate measure of the...
  8. Mussa Wangota

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Nimesoma post nyingi hapa na nilichobaini Willy anakuwa more attacked kwa sababu ya UCCM na wala sio WILLY as Willy. Jamani ebu tuache party affiliations na tujadili issues badala ya mtu. Willy kwangu mimi is a hero kwani kile kitendo cha kuthubutu kutia mguu katika jukwa la siasa (field) sio...
  9. Mussa Wangota

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    I wish you all the best Willy. Naimani utapita vikwazo vya uteuzi kutokana na ushupavu wako na jinsi unavyoweza kujieleza ama kushawishi. Ushauri wangu ni kuwa usituangushe vijana wenzio in case you get an opportunity to represent us to the EAC assembly. Uwepo wako wa muda mrefu hapa janvini ni...
  10. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Kila mmoja anaweza kujibu hoja ata kama imeanzishwa na mtu mwingine. Nitumie ID mbili za nini?.I stand to be Mussa Wangota na utanipata hapa kwa jina hilo. Apolycapo kama ameibeba hoja kuwa yake ama kuchangia on my side it's well and good. Ningelalamika juu ya hili iwapo ingezua labsha kwa maana...
  11. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Mkuu apoly kaniunga mkono kwa yale niliyokuwa nikinena. Sina ID mbili tambua Mussa Wangota anabakia kuwa Mussa Wangota. Thanks Apoly kwa kutia uzito. Kama mnazo trick za kutoa hoja na kuzi support wenyewe basi hili nalo ni tatizo.
  12. Mussa Wangota

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Kaka Pelege hoja ujibiwa na hoja Mkuu. JUST KICK OFF TO THE BOTTOM OF A CIRCLE!
  13. Mussa Wangota

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Nadhani Dr. Slaa hapa anawajibika kujibu yale ya kisera pekee kutokana na role ya Bodi ya Wakurugenzi. Lakini yale mengine ambayo yameambatanishwa humu ni muhimu yakawa directed to Managing Director (i hope the Centre has a person like that) kama Mtendaji Mkuu wa shughuli za kila siku na mtoa...
  14. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Kaka feedback ni vizuri tukawa wakweli kuwa utakuwa na faraja sana iwapo chama chako kikishinda. Pia sina popote niliposema kuwa only wanachama wa CDM na CCM ndio wanaruhusiwa kuchangia humu. Nimekujibu wewe kupitia comment yako kwa sababu nakujua YOU ARE a CHADEMA Member, sasa kama unaukana...
  15. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Nadhani tuwape fursa wana ARUMERU ya kuchambua pumba na mchele ni upi! Kinachofanyika hapa hakina tofauti na Watani kati ya Simba na Yanga. Siasa ya uchaguzi kama huu wa Arumeru haipiganwi katika magazeti ila ndani ya pitch (political arena) let us wait and come back with what we call technical...
  16. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Mkuu umekuwa ukijitambulisha kama Mwana Chadema Asilia na kimsingi ulipaswa kuchukua hii kama advantage kwa chama chako katika ushindi badala ya ku-comment as if you are a CCM Stakeholder/beneficiary. Au is what we call "Political Manoeuvre" kwa kujifanya una "Sympathy" na adui?
  17. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Kaka Jogi Hapo nilipobold sijakuelewa! Hizi ni hoja nyepesi kama zilivyokuja za DR. Slaa mkazipinga humu kipindi cha Kampeni za Mwaka 2010. Yote yalihusiana na UZINZI.Let us stick to those which bring benefit to our entire community with no doubt badala ya gutter politics.
  18. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    No Comment on you kwani ni sawa na kupingana na maoni ya Comrade "Mkandara" juu yako.
  19. Mussa Wangota

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Nashukuru Mkuu Matola kwa kutoa mfano zaidi.Binafsi sikupenda kufika kwenye mfano uliotoa wewe.Na imani kijana ataelewa.
Back
Top Bottom