Search results

  1. C

    Urais 2015: Nimjuavyo Dk Hamisi Kigwangalla na Uchambuzi Hafifu wa Julius Mtatiro!

    Urais 2015: Nimjuavyo Dk Hamisi Kigwangalla na Uchambuzi Hafifu wa Julius Mtatiro Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi. CCM ni chama chenye nafasi kubwa kwenye kutoa viongozi wengi zaidi kuliko chama kingine chochote. Kwenye nafasi ya Urais, ni wazi kabisa vyama vyote vinajua haviko tayari...
  2. C

    Kigwanomics ni Tumaini la Tanzania ijayo: Turufu ya Siasa Mpya za Kizazi Kipya

    Siku za hivi karibuni tumeshuhudia aina mpya ya wanasiasa wanaofanya siasa ya kutazama mbali. Tumeshuhudia January Makamba akitoa kitabu chake, mara Zitto Kabwe na sasa Kitabu kipya kutoka kwa wanasiasa kimetungwa na kuchapishwa na Dr. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni Mbunge wa Nzega na Mwenyekiti...
  3. C

    Kigwangalla afunika Bungeni

    Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia. Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi. Na pale...
  4. C

    Kigwangalla aagiza mabasi yaendayo haraka Dar es salaam, atishia kumfukuza mtaalam mshauri kazi

    Leo kawenye kikao cha kamati ya TAMISEMI, mh Kigwangalla, ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo ameng'aka alipokuwa akihoji kwa nini BRT haianzi kazi wakati kamati iliagiza miezi sita iliyopita kuwa mchakato wa kuwapata waendeshaji wazawa kwa ajili ya interim service uanze haraka ili kufikia mwezi...
  5. C

    Kigwangalla alivyopokelewa Nzega: Hotuba na Picha za mapokezi !

    Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Imetolewa mjini Nzega, kwenye viwanja vya parking, siku ya leo, Jumamosi tarehe 4...
  6. C

    Hamisi Kigwangalla: The Story!

    At primary school I had won, several times, academic prizes in a number of ward as well as district academic challenges. My mother always told me that ‘you are just like your father; he was a smart guy at school and even at work'. In a way this inspired me and I thus was very eager to meet...
  7. C

    Kigwangalla on Al-Jazeera!

    Why there was no ‘African spring’? Why was there no 'African Spring'? - Opinion - Al Jazeera English By Hamisi Kigwangalla, MP. The self-immolation of Mohamed Bouazizi, a Tunisian street vendor, in December 2010 triggered a wave of protests across Tunisia that brought down President Zine El...
  8. C

    Urais 2015: Kigwangalla Kutangaza Nia kwa Staili ya Kipekee!

    Kigwangalla Kutangaza Nia ya Kuwania Urais 2015 kwa Staili ya Kipekee! Na Mwandishi wetu Kufuatia habari zilizozagaa kwenye duru mbalimbali za kisiasa, vyumba vya habari na mitandao ya kijamii, habari zinasema kuwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
  9. C

    KIGWANGALLA apendekeza Rais Asitishe Bunge Maalum la Katiba ili Kukubaliana Kuhusu Muundo Muungano!

    Katika Ukurasa wake wa facebook Mhe Kigwangalla ameandika muda si mrefu: TAMKO LANGU KWA UMMA KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ndugu wanahabari na waTanzania wenzangu, Nimekuwa nikilazimika kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanahabari...
  10. C

    Dkt. Kigwangalla Kisiki Cha Mpingo Jimboni: Dr. Slaa Apata Tabu Kuhutubia Nzega!

    Katika hali isiyo ya kawaida nimeshuhudia nikiwa kwenye mkutano wa katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Wilbrod Slaa akiwa Nzega katika mfululizo wa mikutano yake kuimarisha CHADEMA kanda ya magharibi, akipata taabu kutafuta mabaya ya kumsema Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Hamisi Kigwangala ambaye...
  11. C

    Haya Maneno ya Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla khs Zitto Kabwe ni Utabiri ama Mpango Mkakati?

    Kutoka ukurasa wa facebook wa Mbunge wa Nzega Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla, amepost haya: - wanajamvi tutafakari, yana mantiki ndani yake. Hamisi Kigwangalla 23 hours ago via BlackBerry · Kitakachotokea: Zitto Kabwe na wenzake watavuliwa uanachama na CDM. Zitto atafanikiwa kuweka court...
  12. C

    Mungu Mkubwa! Leo ni Birthday ya Absalom Kibanda: Happy Birthday Mkuu

    Kutoka ukursa wake wa Facebook Absalom Kibanda It is my birthday today. I thank God for seeing this day, this year alive. It is a miracle
  13. C

    Kigwangalla na 'Kigwanomics' - Agoma kuunga mkono bajeti kuu ya Serikali

    HKigwangalla on Facebook ameandika : Hamisi KigwangallaWednesday via BlackBerry Smartphones App Kigwanomics - includes tax cuts to the working class and businesses so as to increase production > economic growth, decreased government regulation of businesses and the economy, decreased govnt...
  14. C

    Kigwangalla Mwenyekiti TAMISEMI: Awabwaga Mh. Zambi na Mh. Mfutakamba

    Kamati mpya za bunge zilizoundwa hivi majuzi tu hapa zimepata wenyeviti. Kamati iliyokuwa na uchaguzi mkali ni ile ya tamisemi ambapo mwanasiasa chipukizi na mahiri katika kujenga hoja, Dkt. Hamisi Kigwangala (mb) amshinda nafasi ya uenyekiti dhidi ya vigogo, huku wengine wakijitoa. Kweli...
  15. C

    Kigwangalla Akanusha Kupigana Ngumi!

    Baada ya kuhangaika kumpata kwa simu Mbunge wa Nzega kwa kuwa alikuwa akiendelea na kikao cha kamati ya fedha, uchumi na mipango mjini Nzega, Dkt Hamisi Kigwangalla amepokea simu yangu hatimaye na kukanusha kupigana na mtu yeyote yule, anasema 'hizo ni habari za uzushi zinazosambazwa na...
  16. C

    Ujasiri wa Kigwangalla kuizika ndoto ya Hussein Bashe kuwa mbunge Nzega

    Leo nimelala Nzega nikitokea Dodoma. Nimeamua kuzunguuka hapa mjini mjini kidogo nikidadisi hali ya siasa na mambo mengine ya kijamii. Nimemuuliza jamaa yangu wapi tukabarizi na wenyeji kabisa tujue wanaongelea nini nipate kujifunza, akaniambia twende sehemu moja hivi ya kahawa maarufu kama BBC...
  17. C

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    Habari kutoka ndani ya kikao cha briefing kuhusu suala la Mtwara wabnge walijikita kusimamia amani ya nchi. Aliyeanza alikuwa Dr Kigwangala, ambaye ni Mbunge wa Nzega (ccm) aliyesema kuwa uchochezi huu una kiini chanzo kwenye siasa za harakati. alisema hata yeye anadai haki za kutokana na...
  18. C

    Hoja binafsi ya Mh Kigwangala: Ajira kwa vijana kupitia uanzishwaji wa mfuko wa mikopo

    Imeandikwa kwenye facebook page yake ya http://www.facebook.com/TeamHamisiKigwangalla Mhe. Dr. Hamisi Kigwangalla (Mb., Nzega) atawasilisha hoja yake binafsi, mbele ya Bunge la JMT siku ya Ijumaa baada ya kipindi cha maswali na majibu, mnamo saa 4 asubuhi. Hoja hiyo inahusu uanzishwaji wa...
  19. C

    Heko rais Kikwete, Hakika wewe ni jembe!

    POSTED BY HAMISI KIGWANGALLA ON JAN - 14 - 2013 - 0 COMMENT Nauogopa Urais. Namheshimu Rais. Na hapa niseme tu kwamba JK ni jembe! Nikikumbuka ile mikutano ya hadhara aliyopiga Mhe. Rais wakati wa ziara yake Mkoani Tabora na pia side meetings alizofanya mpaka saa saba za usiku nabaki na moja...
  20. C

    Kigwangala afunguka mkutano wa Rais Kikwete Nzega, afunika, Rais amfagilia kuwa tumaini la baadae

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete yuko kwenye ziara yake ya kazi mkoani Tabora toka jana alipoianza akitokea mkoa wa Singida. Jana alipokelewa mkoani hapa akitokea Singida. Akiwa kwenye mkutano wa hadhara alitoa fursa ya wabunge kuongea kuhusu kero za wananchi na hapo Mbunge wa Nzega Hamis Kigwangala...
Back
Top Bottom