Search results

  1. M

    Zijue faida 6 za kula pilipili

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]we jamaa
  2. M

    Kumbe mpenzi wangu anajiuza

    Hakuna mke hapo kaka, tafuta mtu mwingine kabla hujajiingiza kwenye shida
  3. M

    Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    Mimi ni mke na mama wa watoto watatu. Nina miaka 11 katika ndoa na naomba nikushauri yafuatayo: 1. Mawasiliano kati yako wewe na yeye. Hizo kero za uchafu huenda katika mazingira aliyolelewa yeye wala hazimpi kero. Wewe ukiwa mume una nafasi ya kuzungumza nae na kumueleza unavyojisikia ukikuta...
  4. M

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Alikua na rafiki yake wa karibu anaitwa Loki sio Loti
  5. M

    Sikujua kama ndio ulikuwa unaniaga na ulikuwa unaenda kufia mikononi mwa mama yako

    Hiyo namba mtu akitaka kukusaidia chochote inatokea jina gani?
  6. M

    Sikujua kama ndio ulikuwa unaniaga na ulikuwa unaenda kufia mikononi mwa mama yako

    Pole sana mkuu,Mungu akutie nguvu. Kupoteza mpendwa wako katika kifo ni maumivu makali sana. Uwe na imani kwamba Mungu atakufungulia milango. 1 wakorintho 15:26
  7. M

    Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

    [emoji1787][emoji1787]akamwambia na chakula nampikia mwenyewe mwanangu,we pika cha kwako
  8. M

    Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

    Nafikiri alikubali tu ugali umwagike manake jamaa alishamwaga mboga
  9. M

    Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

    Ungesikiliza kisa cha huyo mama usingemuhukumu hivyo. Huyo baba alipanga na familia yake kumdhulumu kila kitu huyo mama. Imagine mama mkwe ameenda kukaa chumbani kwa mwanae eti hatoki mpaka huyo mwanamke aondoke hawamtaki na mume anaunga mkono. Wanaungana mume,mdogo wa mume na mama mkwe kumpiga...
  10. M

    Leo siku ya tatu simuongeleshi mpenzi wangu. Ungekua ni wewe ungechukua uamuzi gani?

    Piga chini huyo,kakudharau sana. Uongo gani huo wa kitoto hivyo,akikuuliza mbona kimya mwambie umemuweka kwenye mtihani pia akishinda atakua mke mwema
  11. M

    Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

    Hahaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naomba jina alilokua anatumia facebook mkuu
  12. M

    Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

    🤣🤣🤣🤣🤣
  13. M

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    Pole mkuu we andaa shavu tu hakuna namna[emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    Hahahaaaaa[emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    Hahahaaaaa kilambi.. unanivunja mbavu,umejifungia chumbani unaogopa gubu la mama mkwe au kuna kingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. M

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom