Search results

  1. N

    Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

    Na anayechaguliwa sehemu mbili hakuna namna ataenda zote mbili, atachagua moja na hiyo nyingine itakuwa wazi na atachukuliwa mmoja wa wale waliokuwa kwenye reserve list. Kwa hiyo bado secretariat ya ajira wako fair. Kwa hiyo mtoto wa maskini atapata tu kama alifanya vizuri interview yake.
  2. N

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    mbona hiyo orodha inaonyesha imeandikwa na mtu mmoja tu kwani mwandiko ni wa mtu mmoja tu. Nina was i was i na haya.
  3. N

    Viwanja bomba mbili Dar

    Unaweza u ka nitumia picha ya hivyo viwanja na unitumie number ya simu ili tuwasiliane kwenye email hii deodatus.zakaria@gmail.com
  4. N

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Kazi aliyopewa Zito ni kuhakikisha anakiua chama cha CDM na viongozi wa chama mnalijua hili vizuri kuliko hata mimi na hiyo kazi bado ajaikamilisha. Yoote hayo anayoyafanya ni kujaribu kuprolong mgogoro ili Chama kisifanye kazi zake na badala yake kishughulikie mgogoro. Ushauri wangu ni kuwa...
  5. N

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kwa mwandishi makini anashauriwa awe na uelewa wa fani anayoichunguza ili kuepusha kutoa mambo ambayo hayana maana. Mwandishi wa makala hii anatakiwa ashitakiwe na jamii ya madaktari kwani hajaitendea haki na kama wanania ya kueleza uozo wa hali ya matibabu hapa nchini ni vizuri wakawahusisha...
  6. N

    Mwakyembe anajaribu kuua kichuguu kwa kukamata kumbikumbi?

    Kikwete alisema anaorodha ya wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya ambao ni vichuguu kwa hiyo mwakyembe akamuombe bosi wake hiyo list ya vichuguu ili avishughulikie kuliko kushughulikia kumbikumbi wakati huo huo raisi anawasihi waathirika wa dawa za kulevya kuacha kutumia dawa hizo wakati...
  7. N

    Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

    Anayeua sio polisi ila ni raisi kikwete na serikali yake kwa hiyo usitegemee police wakamatwe. Kama police wanaua bila raisi kuweka wino ungeona wanavyoshughulikiwa na dola. Ukiua bila kutumwa na raisi hata dakika tano haziishi utakuwaumeshakamatwa na kushughulikiwa.
  8. N

    Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    Kwa CV hiyo msimlaumu maana hajui atendalo, CV inaonesha amebadilisha sana vyama na hii kwa wataalam wa afya ya akili ya binadamu wanaweza wakasema mtu huyu ana "Mania". Anahitaji ushauri wa kitabibu ili ajitambue kuwa ni mgonjwa ili aende akatibiwe.
  9. N

    Tamko la Serikali: Mgomo wa Madaktari

    Wazee wetu walipigana kumuondoa mkoloni na kuiletea nchi yetu Uhuru, sisi watanzania wa leo tunalalamika tuuu, sasa ni wakati wa kuikomboa nchi yetu kutoka katika mikono ya maghaidi CCM na serikali yake, watanzania tuungane tuiondoe serikali hii dhalimu madarakani sasa hivi kwani haitusaidii...
Back
Top Bottom