Search results

  1. Mhamiaji Haramu

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Habari wanabodi Napenda nichukue fursa hii kumpongeza Mh. rais Kikwete kwa kufanya mabadiliko ya kumuondoa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Magnus Ulungi, na kumteua Kamishna mpya Sylvester Ambokile Mwakanyule. Magnus Ulungi amshindwa kuuondoa mtandao wa kikabila ulioshikilia Idara hii nyeti. sasa ni...
  2. Mhamiaji Haramu

    Sylvester Ambokile Mwakinyule ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu, Idara ya Uhamiaji

    Hayo unayosema kweli kabisa, vibabu vyenye vyeo vikubwa havitaki kufanya kazi zinazostahili kulingana na vyeo vyao, badala yake vimejazana makao makuu na uwanja wa ndege na border kubwa kama namanga vikiongoza kwa kuomba rushwa na kutia mifukoni nmapato ya serikali, Uhamiaji ifanyiwe...
  3. Mhamiaji Haramu

    Sylvester Ambokile Mwakinyule ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu, Idara ya Uhamiaji

    Magnus Ulungi alikuwa kama boya pale, ngoja aje huyo pengine ataondoa ule utando a wachaga waliojaa HQ kwa kujifanya wao ndio wamesoma peke yao na kwamba wengine elimu zao wazitumie Tandahimba, Kazulamimba, Nampembe na Chwaka Poor Ulungi alikuwa amewekwa mfukoni na vilaza Shayo, Mongi Kishe & Co.
  4. Mhamiaji Haramu

    Tanzania Inatawaliwa Kijeshi na Luteni Kanali Jakaya Kikwete

    Angetumia ujeshi wake kupambana na mafisadi hapo ningemuelewa, Lakini mjeshi mdebwedo huyu kazi yake kuua raia wasio na silaha
  5. Mhamiaji Haramu

    Viongozi Wasiotaka Kutekeleza Ilani ya Serikali Tawala ya CCM Wajiondoe Sasa!!

    Boya kweli wewe, ungekemea ufisadi, unyanyasaji, dhulma, rushwa wizi na machafu mengine kama unavyokemea hapo nchi hii ingekuwa mbali, lakini magamba wote ni wizi
  6. Mhamiaji Haramu

    Agizo la Kikwete dhidi ya wahamiaji linapotoshwa

    Naunga mkono tamko la JK kuwa wahamiaji haramu warudi kwao, Mwenyekiti wa kijiji au mtendaji hana mamlaka ya kutoa hati ya ukaazi, Mimi mwenyewe narudi home kusikilizia kwanza kisha kukipoa nitarudi kuendeleza maisha yangu, bongo kutamu bwana.....
  7. Mhamiaji Haramu

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    CCM wamepagawa na mziki wa chadema sasa hivi wanatapeliwa sana yaani katibu wa wilaya kwao ni mtaji mchunguzeni vizuri huyo tayari amewatapeli kwa kujifanya yeye ni katibu wa chadema, hilo gamba nani analitaka kuhusu watu kutaka kadi za ccm, ni kweli watu wengi wanazitaka kwani kadi za ccm huwa...
  8. Mhamiaji Haramu

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    vipi mlipata watu kweli? mbona hujatuwekea picha ya wahudhuriaji kama kawaida yako? au mliamblia patupu kama kawaida yenu? ninavyoijua Hai bila ya watu kuwatoa Lock hamtapata mtu labda ije CDM
  9. Mhamiaji Haramu

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Mlipopanda Mabomu hivi mlitegemea kuvuna nini? Damu ya watanzania wale haitapotea bure, lazima milipe hapa hapa duniani, wazee wa makambi ya kufunza vijana ugaidi Mkae chini mtafakari msaada mnaouhitaji kutoka polisi si msaada ni laana watanzania wataendelea kuwakataa kwa siasa hizo, sasa hivi...
  10. Mhamiaji Haramu

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    mkaodarasi kumbe na kutoka kile chama cha yule jamaa anaetengeneza dawa feki za ukimwi? kweli hili ni janga.
  11. Mhamiaji Haramu

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    kufaulu kwao isiwe sababu ya wao kuunda mtandao wa kupendeleana dhidi ya wengine, yaani kusiwe na double standard kyk maamuzi linapokuja suala la hatua dhidi ya watumishi, pia kwanini wao kama ni wasomi wajipangie vituo vizuri kama JKNIA, KIA makao makuu, arusha, moshi, namanga, lakini...
  12. Mhamiaji Haramu

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    :target::A S angry::cheer2::confused2::majani7::A S 100::becky::rofl::A S 103::smow::lever::clock: :lever::brick::mvutaji::drum::pray2::behindsofa::clap2::tea::boxing: :fencing::fencing::A S angry::doh::pop2::target::bathbaby::A S 41:
  13. Mhamiaji Haramu

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    mkuu hao wengine wenye majina tofauti ni kwamba eidha kaolewa na mtu wa kabila lingine, hivyo anatumia jina la mume la kabila lingine, tena wengine ni wachaga wakiwa na majina ya makabila mengine yaani baba zao si wachaga, yaani hata kama mama yako ni mchaga, kikundi hiki/mtandao huu haumtupi...
  14. Mhamiaji Haramu

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Habari wanabodi! Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na waraka huu maalum, ulioandikwa na baadhi ya watumishi wa idara ya uhamiaji makao makuu Dar es Salaam, kuelezea namna ukabila hususan uchaga ulivyokithiri ktk idara hiyo, naomba nisiwachoshe, pitieni wenyewe na mjionee namna...
  15. Mhamiaji Haramu

    David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

    kama mgombea kijana dili, basi hata kibajaji ni kijana, jk ampigi debe ili awe mgombea wa ccm 2015, vijana oyeee!
  16. Mhamiaji Haramu

    CHADEMA kushambulia majimbo mawili Leo, jimbo La Simanjiro na Mwanga

    imarisha chama, vipi yule jangili wa meno ya tembo wa kisomali ameishia wapi? mbona siku hizi kimya?
  17. Mhamiaji Haramu

    Waraka Maalum kuhusu URAIS kwa Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    zitto ni kirusi, akidhani yeye ni maarufu kuliko chama, basi anajidanganya, mwache aendelee kutumika tu, ataishia kama walivyoishia wakina khalid kabouru na tambwe hiza.
  18. Mhamiaji Haramu

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    tofauti ya wassira na bulaya ni kwamba wasira yupo chama chenye kupigania wanyonge wakati bulaya yupo chama cha majambazi, hakuna conflict kwani mchuano ni cdm na ccm, bulayo angelijua mapema angejiondoa mapema magamba na kujijenga akiwa cdm, lakini tayari cdm kuna jembe ester wasira sasa...
  19. Mhamiaji Haramu

    Mauaji ya RPC yaibua mapya, kampeni za CCM zarindima msibani, 15 wakamatwa!

    kumbe polisi wanaweza fanyakazi bila msaada wa tume, RPC ameuwawa juzi, leo tunaambiwa watu 15 tayari wamekamatwa wala hawana haja ya kusubiri tume, mwangozi kauwawa na watu wanajulikana kwa majina na picha zipo wakati wakitekeleza unyama wao, eti aliekamatwa na mtu mmoja tu, kweli malipo ya...
Back
Top Bottom