Search results

  1. U

    Halmashauri ya Muheza; Kwanini hamuwapi watumishi mishahara na pesa za kujikimu?

    Habari waungwana, Hivi ni sahihi kweli kinachofanywa na hii halmashauri ya Muheza, yani imeajiri watumishi halafu haiwapi stahiki zao kama pesa za kujijimu na hata mishahara yao. Ndvyo utaratibu ulivyo ama ni uzembe tu wa wakuu pale ofisini. Watumishi wake wanahangaika tu hawana chochote...
  2. U

    Halmashauri ya Mkuranga.

    Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.
  3. U

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari.. Nna jamaa yangu amechelewa kuhamisha miche shambani, yani miche bado ipo kwenye vitalu nimshauri aendelee kuhamishia shambani ? Naomba ushauri wenu tafadhali
  4. U

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Mm nina mbegu za mlonge kama upo serious nipm mkuu
  5. U

    Samsung galaxy tab 2 inauzwa

    Wakuu picha za samsung inayouzwa
  6. U

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Naomba mnijuze ipi mbegu iliyo bora yavitunguu katika kupanda wakuu, naje mwezi huu wa 9 ninaweza anza kuandaa kitalu kwajili ya kusia mbegu .naomben mawazo yenu
  7. U

    Samsung galaxy tab 2 inauzwa

    Nauza samsung galaxy tab 2 imetumika kidogo ,ipo ktk hali nzuri kabisa. Bei 250000..
  8. U

    Dawa za uume kutosimama vizuri

    Check me 0686907486
  9. U

    Kuna watu hatuna bahati

    Ndugu mimi natumia id ya nsanzu, ila .ni,nimeingia wa Id ya jamaa yangu. Hebu nitafute tuzungumze nina imani hilo swala lako litaisha. Trust me. 0686907486, 0718265581
  10. U

    Naomba mnisaidie kupata tempo

    nikweli kabisa ushauri ulionipa niwamaana sana mheshimiwa, tangu nimefika nimekuwa nikijaribu kuzungukazunguka walau nipate lakn bdo cjafanikiwa .ninashukuru sana ubarikiwe sana
  11. U

    Naomba mnisaidie kupata tempo

    mheshiwa chuo ninachosoma ni chuo cha uongozi wamahakama lushoto.. ada nayotakiwa kulipa ni 405,500. semister inaanza tarehe 16 mwezi wa3 waungwana naombeni mnisaidie niweze malzia kozi yangu
  12. U

    Naomba mnisaidie kupata tempo

    waungwana habari zenu, poleni pia namajukumu yakila siku. mm nimwanafunzi ninayesoma diploma in law nipo likizo takribani mwezi1 tutakapofungua ndyo itakuwa semester yangu yamwisho ..yani nitakuwa ninaenda malizia kozi yangu. waheshimiwa nawaungwana nimekwama kupata ada nitakayotakiwa kulipa...
  13. U

    Sony experia z mpya inauzwa

    Nipm kama upo tayari nikupe 350
  14. U

    Samsung note two inauzwa

    Kama unayo nipm
  15. U

    Kuhusu ndoa za jinsia moja: Katiba yetu ya sasa inasemaje?

    Sheria ya Tanzania haitambui ndoa za jinsia moja, bali ndoa ambyo imefungwa najinsia 2 tofauti mkuu
  16. U

    Msaada, Mgao Wa Mali Endapo Wanandoa Wametalakiana?

    Ingawa section 160 sub 2 LMA inarebat hii presamption mkuu na nicourt pekee inayoweza pressume kama kulikuwa naprissamtion ama hapana hata kama vigezo vyote vpo.though kuna shool of thought mbil znakinzana ambyo moja inazungumzia stil ndoa inaweza kuwa valid bila kujali hyo section nliyoitaja...
  17. U

    Kuna dhamana hapa, na adhabu gani waweza kupewa?

    dhamana wanaweza kupata sababu ni bailable offence mheshimiwa
  18. U

    Je, huyu anaweza akapata dhamana/bail

    Nashukuru sana mheshimiwa
Back
Top Bottom