Ni kweli,vuta subira,anwani,namba za simu nk zinatakiwa ziwe zile zilizo inuse anytime,siyo wakupigie hupatikani,kwani wabongo kwa kubadili line hatujambo!
Lakini pia kumbukumbu yako hubaki kwa muda mrefu.nakumbuka jamaa yangu aliitwa kuanza kazi baada ya miaka 3,akiwa tayari kaajiriwa,lakini...
Mmmh,mi sisemi ,ila nadhani veta wanapokea ushauri,milango iko wazi kwa kila mtu,kupeleka maoni,ushauri,nk ili kuboresha VETA yetu,hayakatazwi maoni,wala ushauri,mi nadhani kwa yeyote mwenye maoni na ushauri wa kuboresha taasisi hii ni vyema akachangia moja kwa moja kwa mkurugenzi mkuu,director...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.