Search results

  1. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kama riziki ni popote kauze bangi kituo cha polis
  2. M

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    FISI ANAPOTAKA KUMLA MWENZAKE HUANZA KWA KUMKASHIFU KUWA ANANUKA KAMA MBUZI ~Mdudu wa masala
  3. M

    Hivi ni haki mtu kuwa katika mahusiano bila kushirikiana kimwili?

    Kwani hio yake anayoikatalia Ina muhuri WA TBS?
  4. M

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Asilimia 98 ya watu wafupi huwa hawapunguzi urefu wa jeans zao.Huzikunja kwa chini kwa matumaini kwamba ipo siku watarefuka wazikunjue jeans zao. HII INAITWA IMANI.
  5. M

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hakimu: Una swali lolote kwa shahidi? Maasai: Ndioo.ile siku wee naona mimi nikiiba ilikua nimefaa shati rangi gani? Shahidi: Ulikua umevaa shati nyeupe. Maasai: Hapana.mekosea.ilikua rangi ya buluu.:D:D:D Chezea maasai.
  6. M

    Cheko mubashara

    Ni mimi naona hivi viatu vikicheka ama ni ile bangi nimevuta ndio yafanya nione vitu vyangu
  7. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    UKitaka kumueza mchawi..Kesha macho.
  8. M

    3 different types of single women

    In Ukimuona mpe salamu zangu za dhati.
  9. M

    3 different types of single women

    Konyagi Motooo.haha.
  10. M

    Duuuh

    :mad: Nani kasema
  11. M

    Duuuh

    Yaani hakuna siku nimefurahi kama siku ya Leo na nimeonelea ni freshy kuwajulisha wadau.Yaani Leo nimejiona laivu kwenye runinga...nilipoizima
  12. M

    3 different types of single women

    1. Prostitutes who were landing on one chest after another like aeroplanes. They conceived in the process, the dad of the kid(s) disappeared and now they're forced to fend for their kid(s). They thought they'd milk money from the man on child upkeep but the deal backfired. This is a bitter lot...
  13. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Umbea wataka bidii.Hata ikinyesha ya mawe tafuta mwavuli ukasambaze Habari. :D:D
  14. M

    Njia ya mortuary ndio hio

    je umeiona inapoelekea??
  15. M

    Waalimu mna kaz kwel kwel

    Cha mkufu mwanafu ha, na akila hu, lakini cha mwanafu mkufu hu, na akila ha!
  16. M

    Mtu mke au mtu mme, kuna wanaume warembo jamani

    Mdomo umekolea shedo lipustiki wakunyonya denda tena kwa hitilafu romance-mtoto wa geti kali by inspekta haroun.
  17. M

    Vipi masai bana!

    Maasai sita wakapanda dala kuelekea arusha.konda alipowaitisha pesa mmoja akatoa wale watano wakadaisha sisi apana enda arusha yero.tunasindikisa huyu ndugu yetu.
  18. M

    uswahilini kuna vituuukoooo.

    Jamaa baada ya ugomvi na waif mswahili alisusia msosi akaishia dili ile kurudi toka kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa "UKISUSIA WENZIO WALA" Ilipofika asubuhi kavaa kanga imeandikwa "UKITOKA MWENZIO ANAINGIA" Daah jamaa akagoma kwenda kazini.. mke akavaa kanga imeandikwa...
Back
Top Bottom