Search results

  1. M

    Tupia majina ya baa za zamani

    Kwa wakata kiu, tupieni majina ya bar za zamani; Mie nakumbuka Mpilipili,Deluxe -Magomeni, Bingwa bar, Congo bar-Kkoo,Kingstar,White Inn,Bobs Motel, Queen of Sheba,Gaza one,Mori bar-Sinza...endelea.
  2. M

    ingekuwa amri yako mbunge anayetukana.....?

    baadhi ya wabunge wa ccm wamekosa maadiri na bado spika anawalinda, je..? ungekuwa wewe una uwezo wa kutoa adhabu ungewaadhibu vp?
  3. M

    wasafwa kwa uchafu duh!

    hawataki kuoga! no kupiga mswaki.. nguo ndo kabsaa!!!
  4. M

    wazungu noma huyu mama thatcher kawakosea nini?

    lady Thatcher alikuwa mkuda ile sana na mbaya zaidi enzi za appartheid ali wasupport makaburu no wonder wazungu wenzie wanafurahia kifo chake!!!
Back
Top Bottom