Search results

  1. P

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Eeeh njoeni na hoja hii ili kusaidia kupata kura za wazee. Uzuri wa hili suala tu kwamba litasaidia kupata kura za wazee, bali pia ni njia mojawapo sahihi ya kuwasaidia. Wazee lets say kuanzia umri wa miaka 65 na kuendelea wawe wanapata dawa bure (aidha kupitia hospitali za serikali au kama...
  2. P

    Naomba kujuzwa bei ya ndama wa maziwa

    Nashukuru wote kwa Majibu, lakini naona bado sijapata jibu la uhakika. Pls wale wanaotaka PM, nitashukuru sana kama mkiweka wazi hapa halafu hayo mambo mengine ya PM yatafuata. Asanteni. Bei ya ndama wa Maziwa ni kiasi gani na naweza kuwapata wapi ?
  3. P

    Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

    mtaji ni kiasi gani ? na nikisema nichukue ndama lets say wa miezi 5-6 na nikawakuza, au unadhani ni vizuri nikichukua Ng'ombe wakubwa tayari kwa ajili ya kukamuliwa ?
  4. P

    Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

    sabuwanka ulinunua Ng'ombe wa Maziwa kiasi gani ? walikuwa na ukubwa gani ? ningependa kuanza kufuga Ng'ombe wa Maziwa lakini ningependa kuanza na ndama wa miezi kama 5-6 na niwakuze
  5. P

    Naomba kujuzwa bei ya ndama wa maziwa

    Wazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi? Natanguliza shukrani.
  6. P

    Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    hapa Nape atakuwa anajilaumu kiasi fulani
  7. P

    Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    ninachotaka kufanya ni nini kwani kiasi kwamba nihitaji kusoma hiyo katiba? labda tuanzie hapo
  8. P

    Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    Angalia nchi za magharibi mwa Africa. Tatizo letu watanzania hatuna uthubutu
  9. P

    Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    sawa, lipi litafanikiwa ? Lengo ni kufanikiwa katika hilo nililoeleza hapo juu, kama wazo langu halifai sawa basi toa wazo lako litakalofaa na nitakuunga mkono. Lengo ni kufanikiwa mkuu. Asante
  10. P

    Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    Kwa kuwa yule mkuu amedai kwamba hapelekeshwi, na haambiwi, kwa kifupi mkuu ameonyesha jeuri na kiburi cha hali ya juu kwetu sisi watanzania, nadhani itakuwa vizuri tukianza kuangalia ni jinsi gani tunaweza kufanya "lobbying" ya wabunge wa JMT kuangalia njia gani inaweza kutumika kuhakikisha...
  11. P

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    mkuu naamini umeelewa kusudio lilikuwa nini
  12. P

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Mbali na yote yanayosemwa kuhusu hawa wawili, ukaribu wao na kadhalika, je unadhani ni ipi moja ya uwezekano wa JPM kushindwa ama kuchelewa kumtumbua Bashite ? Je, inawezekana kwamba Bashite ana siri nyingi sana za JPM ? Ukaribu wao kiasi cha D.A.B kujua siri za JPM ulianza vipi ? Je...
  13. P

    Gharama za ujenzi banda la mbuzi

    ni aina gani hawa wanaozaa mapacha ?
  14. P

    Gharama za ujenzi banda la mbuzi

    poa nitashukuru kwa msaada. Moro sehemu gani
  15. P

    Gharama za ujenzi banda la mbuzi

    eneo lina hela 3, sehemu kubwa kati ya hizo hela 3 nitatumia kwa shughuli za kilimo na nyingine kwa ajili ya ufugaji.
  16. P

    Gharama za ujenzi banda la mbuzi

    Ndugu zanguni, natumaini wote wazima wa afya. Naomba kujua gharama za ujenzi wa banda la mbuzi zipo vipi. Nimepanga kuanza na mbuzi 10 maeneo ya kibaha. Lakini iwapo nitafanya vizuri kwenye ufugaji, ningependa kuexpand lakini kwa sasa nitaanza na hao mbuzi 10. Asanteni sana. Pia kama...
  17. P

    Magufuli ni rais maarufu duniani

    Hitler nae maarufu vile vile. Una jingine ?
  18. P

    Lowassa atakatiwa rufaa kwa kuanza kampeni mapema, atakatwa tena

    Maccm yalivyo mashenzi na kuogopa mziki wa Edo wapo tayari kumzuia Lowassa pamoja na Magufuli kwa pamoja na vyama vitafute wagombea upya. This seems impossible, lkn haya mashetani maccm yanaweza kupossibilize (if u will) mambo ili tu wapunguze kasi ya Edo
  19. P

    Jipatie tishet yako ya UKAWA

    Jamaa amekuja kutest zali, kitu kimekubali.
Back
Top Bottom