Search results

  1. MKILINDI

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Tatizo ni neno "MKE" mdada wa kazi nae akiolewa tu. Hawezi kubehave kama alivyokuwa ataletavya aliyoondoka.
  2. MKILINDI

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Mnaozungumzs kwa upande wa kukataa yawezekana hamjao na kuolewa. Lakini niwaambie tu ukiwa na pesa na ukishindwa kujiheshimu utaona kila kitu unaweza kufanya. Ukweli ni kuwa yawezekana ameshakula secretary wote wanaomzunguka. Akawa anatafuta kitu kipya cha kujaribu. Ofis ya Rais, ni taasis...
  3. MKILINDI

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Tunaonq sawa tangu utotoni.
  4. MKILINDI

    Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Wakati unatembea na huyo mzee hakuwa mkwe na mlishamalizana. Aendelee na taratibu za kuolewa na kijana wa huyo mzee ila asitembee na huyo mzee baada ya ndoa. Mana baada ya ndoa ndio itatambulika kuwa ndio mkwewe
  5. MKILINDI

    Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Huyo ni baba mkwe baada ya kuolewa.. kabla huyo ni mteja km wateja wengne.
  6. MKILINDI

    Takwimu za mchezaji anayeonekana bora kabisa Simba

    Hachezi ki team work anakimbia kama kichaa tu. Anafikiri anacheza na coastal..kama shalulile qnalopwa pesa nyingi na shot on target ilikuwa 0..yeye ni nani?
  7. MKILINDI

    TAMISEMI acheni kiburi

    Tunashughulikia suala lako. Nchi ina halmashaur 168. Matatizo ni mengi
  8. MKILINDI

    Parachuchi kupukutika

    Nilijua parachute...rescue mission
  9. MKILINDI

    Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Mafanikio yanaundugu wa karibu dana na usiri. Ulishindwa kuzingatia hilo. Kazini hakuna rafiki. Mafanikio hayana rafiki .
  10. MKILINDI

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Karibu..Toyota Rav4 5door old model
  11. MKILINDI

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    4mil till now naingia sheli na wenye vx8
  12. MKILINDI

    Kwanini sishiki mimba?

    Ana lishe nzuri sasaa? Ukute analishwa slice mbili za mkate...
  13. MKILINDI

    Kwanini sishiki mimba?

    - Unaposema unapata hedhi kila tarehe 2 hapo kunaukakasi kidogo. Cha msingi elewa mzunguko wako ni wa siku ngapi na sio kujua unapata hedhi kila tarehe ngapi. - Ukielewa mzunguko wako ni wa muda gani. Pia elewa jambo kuu la msingi kuwa yai uharibika baada ya siku 14 baada ya kupevuka...
  14. MKILINDI

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Utakuwa unaishi bariadi, simiyu. Si ni yule mwalimu aliyekuwa akimkataa mtoto wa chief ?
  15. MKILINDI

    Tanzania tutafika huku mwaka 2070

    Mafuriko ya jangwani sehemu ambayo ni tambalale yanatutesa tangu nazaliwa mpaka sasa nazeeka then ndio tuje tujenge chini ya mlima. Tukipata akili ya kutumia ardhi tunayoiona ni hatari kwenye makaratasi lazima kizazi fulani kifutike choteee
  16. MKILINDI

    Uzoefu Wangu wa Kunyanduana na Mabinti Walozaliwa Miaka ya 1997-2002

    Ila wengi wao wametumika sana. Akiwa na mavazi yake anavutia kwelikweli ila.ukimvua na kumkaribia ukiamza kumtomasa. Daaa mwili haujakaza upo kama papai bovu au parachichi lilogingwagongwa. Chuchu kwenye tshrt ni mchomo ila ukishika vidole vinakutana. Hakuna vile vitu vigumu vya wadada wa 80s,
  17. MKILINDI

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Junction huwezi kukatiza na speed ya namna hyo..hata kama angenusurika angeweza kukumba hata boda mwenzake. God have mercy on us
  18. MKILINDI

    Huyu yupo sahihi kweli?

    Anamaanisha mhimili...ana skima ni kama mtu aliyewahi kulisikia neno lakin halifahamu. Elimu yenyewe form 2 ya Biafra Sekondary hakumaliza form four.
  19. MKILINDI

    Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

    Lotion hutegemea na ainabya ngozi yako. Razak kwangu is the best
Back
Top Bottom