Umepita mwaka mmoja sasa tangu marehemu Rais Magufuli alipoishutumu maabara ya taifa kwa kutoa majibu ya vipimo vya sampuli za mapapai, kware na mbuzi kuwa positive, kwa maana kwamba vitu hivyo vilionekana kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Tukio hili liliidhalilisha sana nchi yetu na...
Kifo cha Nabii Sulaiman
Pamoja na utukufu na umadhubuti wa ufalme wake Nabii Sulaiman muda wake wa kuishi ulipokwisha aliondoka kama walivyoondoka Mitume,wafalme na wanaadamu wengine. Aidha, historia inatuonyesha kuwa kifo chake kilikuwa ndio mwanzo pia wa kuanguka kwa himaya kubwa aliyokuwa...
While this is happening, the Ministry of Health is busy firing staff from the National Public Health Laboratory, the only Laboratory that is mandated to test coronavirus in the entire country.
It has dished out letters to terminate contracts with most of employees in the laboratory who were...
Mimi Nadhani ingekuwa ni busara kuwalinganisha watu hao wawili kwa kulinganisha sifa zao kwa kutumia vigezo mbalimbali kama vile:
1. Uwezo wa kuchanganua mambo ya kiuchumi na kuwa na mtizamo wa uchumi wa kisasa unaoweza kukabiliana na changamoto mbalimbali kama vile mdororo wa uchumi wa dunia...
Hapa nakubaliana na wewe, wengi wao (wahindi) wana uraia wa nchi zaidi ya moja na wengi wao ndoto zao huwa ni kutafuta pesa hapa kisha wanaenda zao Canada, Uingereza au Marekani. Hapa ni wapita njia tu.
Mkuu mimi naona hii ni mada nzuri sana. Ni vizuri kufanya tathmini/utafiti isije ikawa kuna "systematic discrimination of racially minority groups". We should not just take it for granted that it happened naturally. Sometimes some minority groups are systematically discriminated and many people...
{Inaonekana wazi kuwa Chama tawala zinatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa urusi. Unachoma nyumba yako ili mtu ajue ni adui yako. Hizi ni mbinu chafu.}
Ushahidi upo? Kama upo mbona wanaotendewa hawaendi kwenye vyombo vya sheria?:hand: Tehe teh teh teh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.