Search results

  1. Comrade21

    Bifuu kubwa la Like [emoji106] or dislike [emoji107][emoji35]

    Habari, Kidogo mm humu ni mgeni, ila katka ugeni wangu kuna watu huwa naona wako serious kwenye swala la ku dislike yaani wao hiyo ndo kazi yao kubwa Kwa kweli sijajua kwamba hawa watu wana lengo gani au mpango gani maana watu wengi sana naona amna lalamika kuhusu hawa jamaa vipi jamani kwan...
  2. Comrade21

    Napata kazi hapa

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP KWA KUPATA MATANGAZO MBALIMBALI YA AJIRA KUTOKA KWA TAASISI AU MAKAMPUNI TOFAUTI. AMBAYO KAZI ZENGINE HIZO UTAPATA KWETU TU NA SIO MAHALA PENGINE BOFYA LINK CHINI UJIUNGE NASI Follow this link to join my WhatsApp community...
  3. Comrade21

    Website inauzwa

    Habari ndugu jamaa na marafiki Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website yangu ambayo ninaiuza kutokana kwa sasa ninakosa muda wa kuitumia. Hii website kwa sasa ina mwaka mmoja tangu nianze kuitumia kwa mwaka huu teyar nimeshaifanyia malipo kwa hyo apa kulipa...
  4. Comrade21

    Hivi kuna ulazima wa kufanya mapenzi kabla ya kuoana?

    Habari zenu, ni matumain yangu kwamba wote wazima humu. Nimekuwa na maswali mengi sana katika haya maisha, ila yote huwa napata suluhisho. Ila katika hili ndio bado sijapata sululisho sahihi, maana siku hizi ukiingia tu kwenye dating hii kitu lazima watu wapitie yaani (kusex). Sasa mimi kwa...
  5. Comrade21

    Mimi nataka tu kufahamu nyie watu mnao date mnawezaje jamani

    Habari zenu wakuu Mm ni kijana wa kiume, katika maisha yangu huwa nashaanga sana kuona kwamba watu huwa wana date. Unakuta mwamaume na mwanamke wako kwenye mahusiano wanaonhea zao na kufanya yao. Kwa kweli kwa upande wangu yaani hii kitu ni ngumu sana sio utani, sijawahii ku date japo huwa...
  6. Comrade21

    Ukitaka kufanya volunteer kwenye hizi NGO’s unaanzaje?

    Habari, Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi nataka kufahamu kuhusu jinsi ambavo naweza kujitolea kwenye hizi NGOs sema sijui taratibu zake zinakuwa vipi. Je ni kwamba mpaka watangaze au sio lazima watangaze. Na sasa hizo hatua huwa zinakuwa vipi mpaka nipate hiko kibali cha kujitolea. Msaada...
Back
Top Bottom