Search results

  1. H

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Bwana alitoa na leo ametwa jina lake lihimidiwe na kila goti lipigwe kwake. Roho zao zipumzike kwa amani . Lakini hapo Singida kunanini jamani? mara Basi la Mohamed Trans limewaka moto mara watoto wameuwawa kinyama why? kwanini? tujiulize jamani,ikiwezekana huyo Kamanda wa polisi wa Mkoa...
  2. H

    Tyson "Wassira" kuwa Waziri Mkuu?

    Hizi habari mbona sizielewi? zimetoka wap? yaani hata Tyson anaweza kuwa Waziri Mkuu katika njii hii kweli au masihara hayo,na Lowassa atakuwa nani? maswali mengi kuliko majibu,naomba ufafanuzi.
  3. H

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Tufanyeje Watanzania ili ajali hizi zipungue? kila siku nikitazama taarifa ya habari ajali,viongozi wetu nao wanapata ajali,ingawa wanasema eti kwa watu wa chini ajali zinasababishwa na mwendo kasi,je? na wao wanatumia mwendo huo ndio maana ajali zinaongezeka? wemeleta speed govenor haikusaidia...
  4. H

    Adhabu ya kifo ni halali?

    Naona hawa jamaa wawili wanyongwe hadharani ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo.wakifungwa wataendelea kufaidi upepo wa mwenyezi mungu bure wakati hawastahili kabisa hawa ni mafisadi wakubwa sana,sio wa kupata msamaha hata kidogo,unapofanya unyama na wewe ufanyiwe unyama, DAWA YA...
Back
Top Bottom