Jana majira ya saa tano za asubuhi na kuendelea kamati ya mahesabu ya umma ya Zambia ilikua ikihoji watendaji wakuu wa wizara ya utalii na sanaa ya nchi hiyo kutokana na ubadhirifu wa fedha takribani Kwacha milioni 325 uliobainishwa na wakaguzi wa ndani wa wizara hiyo.
Katibu mkuu wa wizara...
Kumekuwepo na mijadala mingi kuhusiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) juu ya mustakabali wake kisiasa hasa baada ya kuwavua uanachama wanachama wake waandamizi na matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika hivi karibuni na CDM kuambulia kata 3 kati ya 27.
Mojawapo ya sababu...
Raisi anapopangiwa ratiba ya kwenda mahali kuna kuwa na orodha ya shughuli atakazo zifanya akiwa ziarani, alikwenda Bukoba kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu za mashujaa ikiwa ni pamoja na kufungua shughuli za maendeleo na kuongea na wananchi. Kauli ya Raisi ni tamko rasmi la serikali na...
Mkuu nadhani sio kosa lako kutokujua nini Raisi alikisema akiwa Bukoba, labda ulikuwa bize na shughuli hukupata wasaa wa kufuatilia kwenye vyombo vya habari na mitandao kujua nini kilitokea.
Kwa taarifa Raisi alisema mgogoro wa Meya na madiwani waumalize alipokuwa akiwautubia wananchi wa Bukoba...
Katika kutatua mgogoro unaoendelea hivi sasa Bukoba Raisi Kikwete alitoa suluhisho akiwa jukwaani kwa kuwaambia CCM waumalize kwa kupatana kisha akaondoka zake.
Katika hali ya kawaida kunapokuwa na mgogoro wa kiwango cha hali ya juu kama huu wa Bukoba uwezi tegemea mgogoro kumalizwa kwa kutoa...
Hahahaaaa maandamano yasiyo halali? kasome sheria kabla ujatamka hii kauli, na usiwe unaandika vitu vya kusikia wengine wakisema bila kujua kama sheria, kanuni na taratibu zinasemaje.
Pili ujui nini maana ya siasa za vyama vingi kazi zake na wajibu wake. Ukirudi shule kidogo tu utaacha kupost...
Wapelekwa na CHADEMA? kwa maroli au? Mkuu hawapelekwi CHADEMA ni CCM na Serikali yake kwa kuyafanya maisha kuwa magumu na ufisadi uliopitiliza.
Wanataka kusikia maneno ya matumaini kwa viongozi wanaowapenda wakisubiri kufanya mabadiliko 2015 kupitia sanduku la kura.
Moja ya haki za kikatiba kwa wananchi ya kufikisha ujumbe na hisia zao kwa Watawala juu ya yale wasiyorishwa nayo ni maandamano.
Haki hii ya kimsingi kwa mujibu wa sheria tulizo nazo sasa haihitaji kibali cha Polisi kuitekeleza zaidi ya kutoa taarifa kujulisha uwepo wa maandamano hayo si chini...
Akichangia na kufunga kongamano la amani na usalama wa Tanzania miaka 50 ijayo katika ukumbi wa Nkurumah chuo kikuu cha Dar es Salaam amesema.
Gesi Kutoka Mtwara ni lazima isafirishwe na serikali haitajisalimisha juu ya hilo.
Kwani rasilimali hiyo ni ya watanzania wote na si Mtwara pekee...
Tume ya mabadiliko ya Katiba haina wazee pekee kuna vijana wengi ndani yake Nape anaposema ni wazee wanosubiri kufa anamaanisha nini.
Tume ina watalaamu waliobobea wa maswala ya kisheria na kijamii, pendekezo lao la serikali tatu limetolewa kitaalamu kabisa Nape atuambie maoni yake na chama...
Mkuu Chris Lukosi unaikumbuka hii? Marehemu ameuwawa kwa kurushiwa kitu chenye ncha kali na wafuasi wa CHADEMA. Paul Chagonja mkuu wa oparation wa Polisi alitoa hiyo kauli kabla ya ile videi ikionyesha Polisi wakimsulubu na kumlipua ilo unalisemeaje?
Alafu Chris niambie ni kikundi gani cha...
Madkatari wa Hospitali ya wilaya ya Manyara wanadai fedha zaidi ya milioni 70 ikiwa ni malimbikizo ya fedha ya posho ya dharura. Watishia kugoma wasipolipwa.
Source: ITV habari
Maisha ndivyo yalivyo mengi ya kukatisha tamaa uwatokea wale wote wanaojitoa kwa jamii kwa kuwaanika wenye madaraka wanaofaidika na mfumo uliopo. Kwa bahati nzuri Mungu kawapa upofu wa matendo yao yanayozidi kuwaangamiza wao wenyewe, hawakupata funzo kwa Rwakatare na sasa wanachonga kesi...
Ndo hufahamu kuwa hakuna demokrasia wala utawala bora Tanzania, ni watu wa maneno tu na pale inapotakiwa kudhibitisha hili kwa vitendo kauli ni piga tu kwa kisingizio cha amani,amani wakati maisha yanazidi kuwa magumu kila uchwao?
Huo ni mtazamo wako, naomba nikufaamishe kuwa Star Tv imeliondoa gazeti la Tanzania Daima kwenye orodha ya magazeti yanayosomwa asubuhi kwenye kipindi cha Tuongee magazeti. Mmiliki wa chombo hicho mwenye hisa nyingi ni Antony Dialo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza.
IPP Media mmiliki wake mpaka...
Hivi ndivyo serikali ya Tanzania inavyo endesha mambo yake ikishaamua inafanya tu kwani inajua ikienda bungeni waliowengi watasema ndiyoooooooo, alafu unategemea kuona mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kijamii kama ya nchi nyingine zilizoendelea kwa stahili hii.
Hivi ndivyo serikali ya Tanzania inavyo endesha mambo yake ikishaamua inafanya tu kwani inajua ikienda bungeni waliowengi watasema ndiyoooooooo, alafu unategemea kuona mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kijamii kama ya nchi nyingine zilizoendelea kwa stahili hii.
Hawa wazee ndio wale nawaogeuza vyama vya siasa kuwa baba na mama zao, serikali yoyote ile duniani ina wajibu wa kusomesha raia wake hiyo kazi si hisani wala zawadi unayostaili kusema heti CCM imekusomesha alafu unaikosoa.
Huu ni udhaifu mkubwa wa kutojua kupambanua siasa na maendeleo ya watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.