Search results

  1. D

    Sisi Si Maghaidi Na Siyo Wachochezi

    Kweli hoja hujibiwa kwa hoja. Hata hivyo binafsi sishangai yaliyoipata jambo forum. Mara nyingi nimesoma na kusikitishwa na mambo mengine ambayo wenzetu wameweza kuyasema ama kudai. Nani asiyejuwa kwamba wakati mwingine madai mengine hata sio hoja ya kujibika bali uzushi mtupu. Tumesoma mengine...
  2. D

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    JIBU BWANA NABII HAPA KADONDOKA. HEBU TUMRUDISHE SHULE ANGALAU KWA DAKIKA MOJA. UTAMADUNI WA MAKONSULA UMEJENGWA JUU YA SHERIA ZA KIAMTAIFA. SIO LAZIMA MTU AWE RAIA WA NCHI YAKO ILI AWE KONSULA WAKO. UTARATIBU NI KWAMBA NCHI YAWEZA KUMTEUA RAIA WA NCHI INAPOTAKA KUANZISHA UBALOZI MDOGO -...
  3. D

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Waliosema "innocent until proven guilty" walijua kwamba one cannot be fairly tried in the court of public opinion! Half truths half lies!! Tuvute subira na ukweli utakapobainika tutayajadili na kutoa hukumu. Is this too difficult to ask for?
  4. D

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Waliosema "innocent until proven guilty" walijua kwamba one cannot be fairly tried in the court of public opinion! Half truths half lies!! Tuvute subira na ukweli utakapobainika tutayajadili na kutoa hukumu. Is this too difficult to ask this?
  5. D

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Mimi simjui Mama Mongela lakini naamini tusimhukumu kabla hatujajua story yote. Kunyamaza kwake sio lazima kumaanisha ni kuzikubali tuhuma hizo. Bahati mbaya wengi wetu tunayo tabia yakuwatakia wenzetu mabaya. Wachache wapo tayari kumuonea huruma na kusubiri ukweli. Kinachosikiitisha zaidi ni...
  6. D

    East African Federation (EAF) public Views

    Any suggestion that Tanzanias are xenophobic about their Kenyan and Ugandan compatriots is at the least ludicrous. We are a counrty that was willing to deffer our its independence to allow our countries emerge as a federation. History records the selfishness of some leadrs that sabotaged that...
Back
Top Bottom