Salute kwa Dokta Samiah Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kuzungumza vizuri sana mzibani mwa Hayati Kipenzi cha Watanzania wengi Edo
Ingekuwa hoja kuhusu siasa ving'ora na vuvuzela vingepigwa vingi mno watu wanashindwa kutambua kuwa uhai ndiyo msingi wa yote hayo,jamani viongozi husika mbona hamsaidii watu hawa au kwa kuwa hao wahamiaji haramu wanatoa rushwa?
Huelewi chochote juu ya diplomasia,swali langu kwako wakati nchi za magharibi zinatesa bara letu ya Afrika nchi ipi ilitusaidia Waafrika kupinga ukoloni?
Inawezekana wanaopingana kuhusu Mbowe kulipiwa nauli kwenda US wote ni wanachadema, kikubwa na muhimu Tanzania hakuna chama makini cha upinzani wote jaza tumbo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.