Search results

  1. M

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    musipoteze muda haya maazimio ni ya bunge lakini yamepatikana kutokana na maridhiano ya ccm na vyama vyote vya upizani, kwa hiyo hakuna jinsi yeyote ile ya kumtetea huyu mama, rais hawezi kata kutekeleza kwani ccm tayari imeshapitisha, hawezi tetea mwizi mmoja na kuharibu chama.
  2. M

    Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

    siamini kama james anaweza toa msaada wa 2B kwa ana tibaijuka hivi hivi tu, lazima kuna motivation behind, na ni huo ujumbe wa CC tu hakuna kingine.
  3. M

    Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

    huyu mama hana pakukimbilia, ndiyo maana Halima alisema ni fisadi
  4. M

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    hivi wadau wa JF mumeshindwa kufikiri, ukiwa na jambo kubwa la kutatua au la kutolewa maamuzi lazima uwaone wajumbe wa cc ya xxx tawala na huyu mama ni mjumbe kwa hiyo hii ni corruption deal kwake kama mtoa maamuzi. mambo makubwa yote lazima yapelekwe kwenye cc.
  5. M

    Prof. Anna , anaweza au wizara imemzidi kimo!

    huyu mama wizara imemshinda kabisa wala hana uwezo wa kuwa waziri kabisa, kwanza yeye mwenyewe ni kinara wa kuvamia maeneo ya wazi atawachukulia vipi hatua wezake?
  6. M

    Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

    ndugu wana jamii mimi najiuliza hivi huyu mama prof tangia ameteuliwa kuwa waziri wa ardhi kuna kitu chochote amefanya? hata huo mradi wa kigamboni, wezake waliupanga vizuri sana lakini yeye kaja na kuharibu kabisa. tharau zinampoza huyu prof uchwara.
  7. M

    Yaliyomkuta Waziri Mathayo ni kama yaliyomkuta Zitto na Mkakati wa Mabadiliko 2013

    mimi naamini hao mawaziri wote wameonewa tu, kuna bad performer wengi kwenye hii serikali. operation yeyote lazima iwena structure wakati wa kuundwa, hao watekelezaji walikuwa wanaripot kwa nani command centre ili kuwa wapi? ni ikulu au ni wapi? waziri mkuu alikuwa na nafasi gani katika...
  8. M

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    sio lazima mtu awe prof. ndiyo useme anafaa kuwa waziri wapo watazania wengi wenye elimu za kati kama mzee mandela lakini ni wazalendo na ni vichwa kweli, kama kweli mh Rais anachagua mawaziri kwa uwezo wao kiutendaji hakuna jinsi Mama Tibaijuka anaweza hata kufikiriwa.
  9. M

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    umesema kweli Bulesi huyu mama hana uwezo kabisa, wizara ya ardhi imemshida 100%, unhabitant uliza Nairobi waliokuwa wanafanya naye alichemsha kabisa, nasikitika tunataka kurekebisha mambo kumbe dio tunaharibu kabisa.
  10. M

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    umesema kweli Bulesi huyu mama hana uwezo kabisa, wizara ya ardhi imemshida 100%, unhabitant uliza Nairobi waliokuwa wanafanya naye alichemsha kabisa, nasikitika tunataka kurekebisha mambo kumbe dio tunaharibu kabisa.
  11. M

    Anna Tibaijuka ameishia wapi na harakati za kurejesha maeneo yaliyoporwa?

    nasikitika wachangia mada wengi hawamfahamu huyu mwanamama vizuri, nivizuri kumfahamu mutu unaye taka kumwelezea, hata kuweka mategemeo kwake, kwanza huyu mama mwenyewe in mvamizi no 1 wa maeneo ya wazi. sasa atawezaje kusimamia kitu ambacho yeye mweyewe ni muhalifu, kiwanja chake no 413...
  12. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    wewe umezoea kula mahindi ya wakulima, bila kujua gharama na shida ya kulima.
  13. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    wewe tumbiri ni mpiga majungu mkubwa inaonekama mama nyoni alikubana sana hizo kende zako, sisi tunaangalia masilahi ya taifa na sio ya tumbiri na mafisadi wezake.
  14. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    wewe ndiyo ulikuwa unaiba sasa umebanwa mbavu unaleta majungu serikali inafahamu kila kitu usipoteze muda bado mutashughulikiwa vizuri mpaka makamasi yatawatoka. nyakati za kuiba mchana zimekwisha, nyakati za mtumishi anakuwa na imprest za 200m bila kufanya retirement zimekwisha, habari ya...
  15. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    wewe ndiyo ulikuwa unaiba sasa umebanwa mbavu unaleta majungu selikali ninafahamu kila kitu usipoteze muda bado mutashughulikiwa vizuri mpaka makamasi yatawatoka. nyakati za kuiba mchana zimekwisha, nyakati za mtumishi anakuwa na imprest za 200m bila kufanya retirement zimekwisha, habari ya...
  16. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    tuache tabia ya kupenda na kushabikia mambo bila hata kuelewa kwa undani, kama mama nyoni hafai basi sithani kama kuna kiongozi ndani ya hii serikali anapaswa kubaki. (tuache tabia yakufurahiya matatizo ya watu wengine bila kujua hata ukweli) huu ni wivu wa hali ya juu, hatuwezi kwenda kokote...
  17. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    i am still beleving that she is one of perfomer in this government.
  18. M

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    yaliyo andikwa na mwandishi ni ukweli mtupu, ila tanzania ya leo msema kweli huna nafasi tena, huyu mama na wengi wanao fanya kazi ngumu ya kupambana na wezi nchi hii sasa hawana nafasi tena. aliwabana sana watu pale afya wanamchukia sana lakini kwa sababu ya masilahi yao na sio ya nchi. mimi...
  19. M

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    ni ndoto lakini tunaomba iwe kweli hali ni mbaya sana, baadhi ya mawaziri hawajui hata wanatakiwa wafanye nini, jk anakazi kweli, wizara kama ya ardhi hakuna kinachoendelea, sana sana ni vitisho na majungu . watanzania wanataka uwajibikaji na sio kukomoana kwa makundi.
  20. M

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    vipi madai ya msingi ya madakitari?yamesha tatuliwa? au yalikuwa ni kuwafukuza km, na mmk tu? doctors i you happy?
Back
Top Bottom