Search results

  1. Symbiotic

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Jana tumeshuhudia Stars ikishinda tena kwa mbinde goli 1 kwa sufuri dhidi ya Niger, huku Algeria akiifunga Uganda 2-1. Msimamo hadi sasa ukionesha Algeria akiongoza kundi na akiwa tayari kashafuzu fainali hizo hapo mwakani. Mbio zimebaki kwa Tanzania anaeshika nafasi ya 2 kwa kuwa na points 7...
  2. Symbiotic

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Arsenal atatwaa ndoo ya EPL mbele ya City

    Kizingiti kingine kwa Arsenal ni leo dhidi ya Liver. Mechi hii kwa namna yoyote itamlazimu Arsenal kushinda nje na hapo nafasi kwake itazidi kuwa finyu. Ktk makaratasi game zilizobaki City anao uwezo wa kushinda zote kila timu uwezo wa kuipiga anao. Ili liko tofauti kwa Arsenal. Ambaye bado ana...
Back
Top Bottom