Search results

  1. K

    William Ngeleja - Waziri Anayetuhumiwa kwa Wizi!

    HIVYO JIZI KUU LA NCHI HII LINALOWABEBESHA MZIGO WATANZANIA HAMUMFAHAMU AU KWA KUWA ANAKUCHANGIENI KWENYE MATAMASHA, MAJIMBO, UNAPOFIKA NYAKATI ZA UCHAGUZI (CCM NA CDM) NA HATA MISIBA YENU, MBONA HAMUMTAJI ? KUDADADADEK... (wote nyie ndio haohao,ccm,cdm,cuf BABA MMOJA MAMA MMOJA. mmezidiana kete...
  2. K

    William Ngeleja - Waziri Anayetuhumiwa kwa Wizi!

    HIVYO JIZI KUU LA NCHI HII LINALOWABEBESHA MZIGO WATANZANIA HAMUMFAHAMU AU KWA KUWA ANAKUCHANGIENI KWENYE MATAMASHA, MAJIMBO, UNAPOFIKA NYAKATI ZA UCHAGUZI (CCM NA CDM) NA HATA MISIBA YENU, MBONA HAMUMTAJI ? KUDADADADEK... (wote nyie ndio haohao,ccm,cdm,cuf BABA MMOJA MAMA MMOJA. mmezidiana kete...
  3. K

    Wabunge, Masaburi yaibuka tena upya

    Heee....!!!!! Anautaka Ubunge wa Afrika Mashariki ? Atakubali kupokea kura zinazotoka kwa Watu wanaofikiria kwa kutumia MAKALIO (mkunduni) ?
  4. K

    Wabunge wajadili UDA kwa dharura

    Mtemvu,Mnyika, Zungu,Iddi Azzan,Dr Faustin, Mdee,Mwaiposa kasoro Mahanga. Tumechoka na vikao vyenu. Kama mna ukweli SI MUMSIMAMISHE Masaburi ? Tata 30 teyari, menejimenti ya Simon Group Nyinyi kazi yenu Vikao tu,,, Au mnataka mkatiwe (RUSHWA) ndio mnyamaze ? Corcodio
  5. K

    Wabunge, Masaburi yaibuka tena upya

    Wabunge, Masaburi yaibuka tena upyaMSUGUANO kati ya wabunge wa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, umeibuka upya baada ya wabunge hao kusema wamepata nyaraka mpya za tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa sheria katika suala la ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es...
  6. K

    Hoja ya Mkonge kuimaliza CCM Tanga - Zitto na Mnyika watikisa Korogwe

    Re: Hoja ya Mkonge kuimaliza CCM Tanga - Zitto na Mnyika watikisa KorogweZitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo...
  7. K

    Bunge lamjadili Masaburi

    Inawezekana ni kweli hao wabunge wa kwenu ndio wanaofikiria MASABURI. Na inaelekea hata nyinyi wapiga Kura wao mnatumia vitokavyo katika MASABURI yenu kwanza, ndio mwaenda kupiga Kura. Maana ndio Mungu kayaweka ktk vichwa vyenu.
  8. K

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    Kumbe ukiwa unatoa misaada ndo kuwa mbunge makini!! Hiyo ni moja tu ya kazi ya kinafsi ya mbunge, Wahenga walisema UKILA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO. Hivyo posho yake ala na wana iringa, kuna ubaya ?
  9. K

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    Milioni 50 gawanya vitanda 30 sawasawa na 1,666,666/65. Duh vitanda hivyo ni ghali sana, wana Iringa vitunzeni na hayo ndiyo matunda ya Las Vegas. Nakufagilia Rev.
  10. K

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    Heeee....... Kumbe Si hasa ??????? Mwacheni afanye kazi, msijipendekeze kwake. mara VIVA CDM, mara pipoz pawa!!!!!!! Inahusu nini ? amehangaika yeye, katafuta mwenyewe, msijibehedue kwake. Comarade, fanya kazi.!!! BIG UP !
  11. K

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    Heeee....... Kumbe Si hasa ???????
  12. K

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    Nimefurahishwa na kazi hiyo. Na hiyo ndio moja ya kazi za Kibunge, anunue, aombe au hata Kama katokea muhisani akamkabidhi nae akakabidhi kwa walengwa, basi hiyo ni faraja na mapenzi kwa Kiongozi Kama Mch Msigwa.
  13. K

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    Wana JF, hivi ni Kigezo gani kitumike katika nchi yetu kuwapata Wah Mawaziri wenye Uchungu, Uzalendo, Uwezo na Uaminifu ili wawe nuru na faraja kwa Nchi na Wananchi wake kwa ujumla. Maana ni miaka takriban 20 viongozi wetu wamekua ni Watu wa kuonewa huruma wao tu. (kujifanya kuwa ni viongozi...
  14. K

    Naombeni wasifu wa January Makamba

    Wakuu wangu naombeni kwa moyo mmoja kabisa mnisaidie kwenye hili,siku hizi hatupati zile tv za ITV na Star tv, na nyinginezo,tuinapata TBC na radio zao peke yake sasa tumeonyeshwa huyu mkuu akiwa anahojiwa na baadhi ya watangazaji mahiri wa Tbc ambayo tunatazama bila kupenda!mkuu huyu alihojiwa...
  15. K

    Zambia wameweza (hongera Satta), zamu yetu ni mpaka tuing'oe CCM madarakani

    Zambia wameweza, sisi tunasubiri nini? Tukiendelea na CCM tutabaki kua wasindikizaji katika soka. Hongera SATTA hayo ni mafanikio ktk mwaka wako wa kwanza wa uongozi:smash: :shock: Hamuwezi...... Ng'oooo
  16. K

    Mh Mbowe ndani ya USA!!

    kule zanzibar dj mbowe amepakimbia nini? Reply Report Post Popo bawa.
  17. K

    Equivalent wa AL HAJJ Membe huyu hapa

    Ni kweli, maana hata CV Yake kuliko ya Membe na inafanana na ya ARM.
  18. K

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Tunduma zilipiwa mawe, sijui nyinyi Mwanza mnafikiriaje ?
Back
Top Bottom