Search results

  1. B

    TRA, NSSF na NAO

    Tutauwana kwa presha jamani kuweni na huruma na binadam wenzenu jamani!
  2. B

    Aliyewahi kufanya kazi Youth Awareness Program- Tanzania atupe feedBack

    Sijui nifanye kama natoa sadaka tu hiyo 50,000??!!
  3. B

    Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

    Hahahaha. Bora hata kujinyonga ijumaa kuliko kufanya kazi hii.
  4. B

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    Duh! Kama hii ndio solution iliyobaki kwa tusio na ajira, inabidi tuandae tamasha maalum tujiue wote kwa pamoja tuweke na historia.
  5. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Asante kwa ushauri.
  6. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Asante, ndio niliapply.
  7. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Bahati mbaya natoka kwenye familia duni, mpaka kumaliza hiyo degree mungu ndo ajuaye nlopitia, kwa hiyo hata hilo halitawezekana mpaka ntakapojiweza mwenyewe.
  8. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Ungenisaidia njia sahihi ningeshukuru sana maana mpaka mda huu nshatumia njia zote kadri ya uwezo wangu lakini sijafanikiwa.
  9. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Bado nasubiri msaada wenu wapendwa, nyumbani kushanichosha..
  10. B

    Wale waliomba awareness creation officer

    Kazi tunayo tusio na ajira. Ni pressure juu ya pressure....
  11. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Nimemaliza 2011, IFM.
  12. B

    Bachelor Degree in Accountancy holder

    Heshima wakuu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu natafuta nafasi ya kazi au ya kuvolunteer. Ni msichana, nipo Dar. Kwa anayeweza kunisaidia aniPM tafadhali. Shukrani sana.
  13. B

    Hamuyamboyambo humu ndaniiiii?

    Asante sana mkuu.
  14. B

    Hamuyamboyambo humu ndaniiiii?

    Nshakaribia, asanteniiii...
Back
Top Bottom